Nina uzoefu na hizi mambo taarifa za bank za kibongo rahisi kukataliwa .... Labda iwe equity ndio inapita..
Nishapambana nazo hiz kwenye mambo ya google account verification
Sio, hapo unatakiwa ku thibitisha card yako , ipige picha kona zote za card zionekane , na card number ionekane . Kiufupi fuata maelekezo waliyokupa hapo
Sio, hapo unatakiwa ku thibitisha card yako , ipige picha kona zote za card zionekane , na card number ionekane . Kiufupi fuata maelekezo waliyokupa hapo
Jambo muhimu la kuelewa hapo sio bank statement maana bank statement hata pesa ukinunulia luku inaonekana.
Hata pesa uliyoweka kwa wakala inaoneka a yaani ki ujumla bank statement ni matumizi ya account yako ya bank kuingia au kutoka kwa pesa kwenye account.
Ila credit card statement ni matumizi yote ambayo hiyo card yako ilitumika..
Kuwa makini hapo.
Ukifeli nicheki nikusaidie kusolve hilo tatizo
0697850060.
Utagharamia bando kidogo
Habari naombeni msaada wenye ujuzi na skrill akaunti yangu imezuiwa taarifa wanazozitaka kila nikituma narudishiwa email kuwa zimekataliwa sijafahamu nakosea nini mwenye uelewa zaidi anisaidieView attachment 3312852