Cement ina unyevu zaidi, uzuri wa white cement ni kwamba rangi inashika ukuta vizuri zaidimkuu vipi kuhusu hali ya unyevu hasa ukuta wa nje
Unataka kupiga wapikwa hiyo white cement na cement ya kawaida ipo bora zaidi
Nje white Cement, maji haiathiri mkuu
White haivimbi, gypsam powder ndy inavimba ikipigwa na maji... Mimi kuna ujenzi nimefanya nime skimm njee miezi 8 Sahv na mvua lkn iko hivyo hivyondio hapo mvutano ulipokuja kati yangu na fundi. fundi yeye anasema white cement inakuja kuvimba baadae, ndio anashauri cement ya kawaida. hapo ndo natatizika
Huwezi kuskim na Cement ya kawaidandio hapo mvutano ulipokuja kati yangu na fundi. fundi yeye anasema white cement inakuja kuvimba baadae, ndio anashauri cement ya kawaida. hapo ndo natatizika
Hapo ninaomba ufafanuzi maana mi Nina tatizo nyumba yangu imepata fungus kwenye ukuta kwa ndani nusu ukuta na nje nayo rangi na cement inamomonyoka, sijui tatizo Ni Nini?ndio hapo mvutano ulipokuja kati yangu na fundi. fundi yeye anasema white cement inakuja kuvimba baadae, ndio anashauri cement ya kawaida. hapo ndo natatizika
Nyumba yako Ina kiunoHapo ninaomba ufafanuzi maana mi Nina tatizo nyumba yangu imepata fungus kwenye ukuta kwa ndani nusu ukuta na nje nayo rangi na cement inamomonyoka, sijui tatizo Ni Nini?