galindas JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 978 Reaction score 1,306 Jun 7, 2013 #41 Watu wamekosa cha kuzungumza sasa. Ukisha jua ukubwa au udogo wa maumbile ya mtu what good does it do to u?
Watu wamekosa cha kuzungumza sasa. Ukisha jua ukubwa au udogo wa maumbile ya mtu what good does it do to u?
bily JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 8,029 Reaction score 5,816 Jun 7, 2013 #42 tatizo kubwa watu ambao hawapendi mademu na wanawake kumbe wanapiga punye..to je kwa sisi ambao tunashauriwa tusipoteze muda wetu kuwatafuta warembo tufanyeje wakati punye hatuwezi tunaogopa afya zetu zitadorora.
tatizo kubwa watu ambao hawapendi mademu na wanawake kumbe wanapiga punye..to je kwa sisi ambao tunashauriwa tusipoteze muda wetu kuwatafuta warembo tufanyeje wakati punye hatuwezi tunaogopa afya zetu zitadorora.
Mlandege JF-Expert Member Joined Nov 21, 2012 Posts 1,201 Reaction score 585 Jun 8, 2013 #43 Tunahitaji kuwa na Entry requirements maana hadhi ya JF inaporomoka siku hadi siku.
Blue G JF-Expert Member Joined Jun 20, 2012 Posts 5,339 Reaction score 3,674 Jun 8, 2013 #44 Umenena mkuu hali inasikitisha mmu of jf is collapsing. mlandege said: tunahitaji kuwa na entry requirements maana hadhi ya jf inaporomoka siku hadi siku. Click to expand...
Umenena mkuu hali inasikitisha mmu of jf is collapsing. mlandege said: tunahitaji kuwa na entry requirements maana hadhi ya jf inaporomoka siku hadi siku. Click to expand...
L Lyandembela1 JF-Expert Member Joined May 10, 2013 Posts 277 Reaction score 113 Jun 8, 2013 #45 mdada hivi lile jukwaa lililoko miguuni mwa majukwaa yote ya JF bado lipo kweli? unafanyaje kupata access @gfsowin
mdada hivi lile jukwaa lililoko miguuni mwa majukwaa yote ya JF bado lipo kweli? unafanyaje kupata access @gfsowin