pingu mkoka
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 434
- 112
story... Sio stoly.
Duh, hiyo kitu nimeisoma mkuu. Inabidi tufikirie mara mbili kabla ya kutenda.
Baba 1 alikuwa anaosha gar lake jipya,mwanae mdogo 5yrs old akalichora hilo gari ubavuni na jiwe.Baba alivyomwona mtoto anachora akakurupuka na kumbana mkono kwa pkaiz ikapelekea vidole 3 kuharibika.Wakiwa hospital mtoto akatakiwa akatwe vidole vile 3,mtoto akamwangalia baba yake,akamuuliza vitarudi tena?Baba akaumia sana,akarudi kwenye gari aone mtoto kachora nini,kakuta mtoto kaandika Dady i love you.kanuni ya maisha ni watu watu wapendane na vitu vitumiwe.lkn tatizo la walimwengu wa leo,wanapenda vitu kuliko watu.
Wana JF alichofanya huyu mdingi ni kizur?
Stori hii inarudiwarudiwa mara nyingi tu. Sio mpya hii.

"stoly" ndio nini?