D DoroBucci JF-Expert Member Joined Oct 28, 2014 Posts 253 Reaction score 190 Mar 31, 2015 #101 Rejea siri ya mabilioni ya ZITO aliyopitishiwa Ujerumani na yale ya kampuni aliyoiunda ya Dutigite Company iliyomiminiwa ngawira na TANAPA
Rejea siri ya mabilioni ya ZITO aliyopitishiwa Ujerumani na yale ya kampuni aliyoiunda ya Dutigite Company iliyomiminiwa ngawira na TANAPA
D don twelve Member Joined Mar 8, 2015 Posts 14 Reaction score 3 Mar 31, 2015 #102 amuulize mrema kilicho mkuta
sawe6 JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 558 Reaction score 367 Mar 31, 2015 #103 Shy land said: Mimi pamoja na familia yangu pamoja na marafiki wangu watano tumechoma kadi za uachama wa chadema pamoja na nguo zao, chama gani cha ukabila na ukoo namna ile. kutoka watu 12 ndani ya chadema ni pengo, huoni kwamba ni hasara? Click to expand... Mimi na familia yangu pamoja na marafiki wangu kumi na tano tumejiunga chadema.
Shy land said: Mimi pamoja na familia yangu pamoja na marafiki wangu watano tumechoma kadi za uachama wa chadema pamoja na nguo zao, chama gani cha ukabila na ukoo namna ile. kutoka watu 12 ndani ya chadema ni pengo, huoni kwamba ni hasara? Click to expand... Mimi na familia yangu pamoja na marafiki wangu kumi na tano tumejiunga chadema.