Ni mchubuko siyo jeraha, hakuna siri katika chama zaidi ya yale yaliyomo kwenye katiba ambayo kila mtu husoma, huwezi ukawazuia bendera fuata upepo kutoka ndani ya chama kwenda chama kingine wakifuata maslahi yao, kila siku tunatangaziwa watu wanarudisha kadi za CHADEMA lakini chama kinazidi kukua. Ilikuwa ni wakati muafaka kwa ZZK kufukuzwa ndani ya Chama kuondoka kwake ni siyo jeraha bali ni kamchubuko tuuu
Chadema kama taasisi imepata jeraha kubwa. Jeraha hili linahitaji tiba madhubuti ili lisikigharimu chama. Maana viongozi waliopo ACT wanajua siri zote za chadema. Walikuwa wanashiriki vikao vya ndani kabisa vya chama. Ni sawa na kuachana na mke/mume. Hakuna wa kujivuna. Bali akili lazima itulie ili kuendelea na maisha mapya. Na usipo kaa vema utaishia kunywa pombe au kufanya ukahaba kwa kuchanganyikiwa.
Na ndiyo maana kwa mnaofuatilia kinachoendelea ukumbi wa Diamond Jubilee. Kuna mwanadada muigizaji alipotupa dogo linaloilenga chadema ukumbi mzima ulilipuka kwa shangwe. Nitanikuu "kumpiga chura teke ni kumpunguzia safari".

Ni kweli usemacho. Tusitangulize ushabiki mbele katika hili. Think tanks wa chadema wakae chini na kutafuta namna ya kuvuka mtihani huu. Vinginevyo mpasuko na mmeguko utaendelea
Well said mkuu