Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,839
- 50,543
Magufuli alikuwa baba wa nini? Nyerere aliitwa baba kwa kuwa alipigania kuundwa kwa Taifa la watanzania. Samia anaitwa mama kwa aliyoyafanya ama kwa uanamke wake?Mkuu
Hata jpm alikuwa Baba mbona hukupinga!?
Hata NYERERE BADO ni BABA wa Taifa hili,mbona hupingi!?
Na huyu Mama akiwa MAMA WA TAIFA Akifanikisha katiba mpya kupatikana utapinga!?
Hebu shiriki kibwagizo hiki;-
"Mzee warioba arudishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchakato ukamilike"
kina Mama barabarani wakimwita "Magufuli baba"!!!Magufuli alikuwa baba wa ni nini? Nyerere aliitwa baba kwa kuwa alipigania kuundwa kwa Taifa la watanzania. Samia anaitwa mama kwa aliyoyafanya ama kwa uanamke wake?
Sidhani kama umemuelewa.Mkuu
Hata jpm alikuwa Baba mbona hukupinga!?
Hata NYERERE BADO ni BABA wa Taifa hili,mbona hupingi!?
Na huyu Mama akiwa MAMA WA TAIFA Akifanikisha katiba mpya kupatikana utapinga!?
Hebu shiriki kibwagizo hiki;-
"Mzee warioba arudishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchakato ukamilike"
Kwa hivyo na vibabu vinavyomuita Samia Hassan Suluhu Mama badala ya Rais??Mkuu
Hukuwaona k
kina Mama barabarani wakimwita "Magufuli baba"!!!
Ni baba coz kea umri wake anauwezo wa KUZAA kijana mwenye Miaka thelathini na kitu kama Mimi!!
"Mzee Warioba arudishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchakato ukamilike"
Anaweza kuitwa mama huku akifuata SHERIA na TARATIBU za NCHI!!Sidhani kama umemuelewa.
Umeona jinsi walio chini yake wanavyoitumia hiyo mama kama mama ya uanamke? Matokeo yake wakati mwingine hawaongei kama wanaongea na Rais badala yake wanaongea kama wanaongea na mama!Anaweza kuitwa mama huku akifuata SHERIA na TARATIBU za NCHI!!
Umeonaa eenh!!?Tangu hapo hiyo 'mama' inatumika kumdhoofisha na si kumheshimisha.
Asubiri agombee akishinda kwa halali, ataitwa tu rais. Ila kwa sasa ni mama yetu!