Siyo Kila Kingaacho ni Dhahabu.

Ndo ivo mkikataliwa mkubaliane na hali tu sio kuendelea kukazana tuu
Tatizo nyie nao hamueleweki kwa sababu mna ile tabia ya kutaka kutongozwa na kubembelezwa zaidi na zaidi.

Hivyo unakuta mtu anajua unaendeleza hiyo tabia yenu ya kukataa ili usionekane namna gani.
 
Kwa maana rahisi ni mkata kuni Mkuu. Huo msemo ulitokana na kisa cha jamaa mmoja ambae alikuwa anapenda sana kwenda porini kukata kuni..hicho kisa kimebeba onyo au maonyo fulani .

Usipotii taratibu fulani utasikia unaambiwa utakiona cha mtema kuni i.e You will suffer the consequences.

Kuna bandiko fulani humu JF
kuhusu neno MTEMA KUNI hinyo unaweza kutafuta ukapata elimu zaidi.


Maana yake nini ?
 
Nadhani watu wanakosea kiswahili,kiswahili sanifu ni msenya kuni,maana ya kuwa watu huenda porini kusanya au kukusanya kuni,ikumbukwe kuwa kijijini mara nyingi kuni watu walikuwa hawakati,bali huenda kusanya au kukusanya ile miti ambayo imekauka kwa ajili ya kuni,ndivyo navofahamu mimi
 
Thanks a lot brother!

I will work on it..ili nipate maarifa zaidi!
 
Ni kweli subra yavuta kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…