Siyo Kila Kingaacho ni Dhahabu.

Kujipanga na kumsoma mtu ni muhimu sana mkuu
Cjasoma mada wala sjui ina husu nn, nlikuwa najaribu kuangalia km post 3 za juu utakosekana ama la! Na nmekukuta. Ila jamaa hongera unajitahid sana kujib wa kwanza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bila shaka fagio la vyeti feki limekukumba
 
Yeah nina vyeti feki mkuu
 
Polee,Yaani na nmecheka Kama mazuri.
Unajua kucheka tu hata haunihurumii rafiki yangu!

Ila na nyie mkiwa mijitu yenu isiyotaka mfanywe na mtu mwingine muwe mnasema siyo kuficha ficha
 
Na ukumbuke hata visivyong'aa pia huweza kuwa dhahabu, hadi mchanga siku hizi ni dhahabu🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…