Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,092
- 34,904
Duuh! Kumbe fursa ziko nyingi hivi. Haya kwetu ni mengi mno tena yana uzito na ukubwa kuliko haya yaliyokamatwa. Ngoja nianze nami kuyakusanya na kuyapeleka Nigeria Moja Dola 30 tu
Peleka Nigerian Embassy wananunua wale jamaa pale hii nina hakika nayo kuna mtu nilisikia alipeleka.
Poa iko pande gani hapa Dar hiyo Embassy yao. Lakini naamini sasa Duniani hakuna kisicholiwa, kuna jamaa toka Malawi siku moja nilimfumania akichoma / banika Chura, Zambia wana kula washawasha (yale makatapila - viwavi vikubwa) huku Bongo mara watu wanakula panya, mara panzi, mara kumbi kumbi ili mradi shida tupu!
Poa iko pande gani hapa Dar hiyo Embassy yao. Lakini naamini sasa Duniani hakuna kisicholiwa, kuna jamaa toka Malawi siku moja nilimfumania akichoma / banika Chura, Zambia wana kula washawasha (yale makatapila - viwavi vikubwa) huku Bongo mara watu wanakula panya, mara panzi, mara kumbi kumbi ili mradi shida tupu![/QUOTE]
Mkuu rekebisha hii iwe ILI MRADI SHIBE TUU!!! Mambo ya misosi pendwa haya....

Ili mradi isiwe sumu
Poa niko mitaa hiyo ngoja kwanza nikafanye marketingI think Haile Sellassie Rd
changamka kazi hiyo ukichelea mimi nitaingia mzigoni wachina pia wanapenda hayo madudu.Duuh! Kumbe fursa ziko nyingi hivi. Haya kwetu ni mengi mno tena yana uzito na ukubwa kuliko haya yaliyokamatwa. Ngoja nianze nami kuyakusanya na kuyapeleka Nigeria Moja Dola 30 tu
Nimeweka Thread musome kumbe nimewawekea Baishara ya kufanya haaa ningejuwa wala nisengeweka hii Thread kumbe mtapata pesa kwa Thread yangu kazi kweli ipo hapo nyumbani kila kitu ni mali tu.Peleka Nigerian Embassy wananunua wale jamaa pale hii nina hakika nayo kuna mtu nilisikia alipeleka.