Hizi ni swaga tu za wanasiaswa dawa tuwe sheria ya kunyonga mafisadi na majizi.Tujiulize hii tuhama kwa wabunge ndio zimeanza leo?Zilizopita ziliishia wapi?Leo wataandika,tutajadili baada ya mda kimya.Business as usual!
Barua, barua,barua. Hivi sheria ya kupambana na rushwa sii IPO? Kwanini haitumiki kuwapeleka mahakamani wahusika? Bunge linatumia polisi na gharama kubwa kumkamata na kunsafirisha Mbunge wa upinzani aliyekosa kuhudhuria wito wa kamati ya kinga na maadili ya bunge lakini walarushwa wa ccm inawabembeleza.
Kwa nini mahakimu wa mahakama za mwanzo, traffic, ma nesi na wengine ambao wanalipwa chini ya 10% ya wabunge wasiendelee kudai rushwa?
Mimi hua nasema nchi hii haikuoza kwa mda wa siku moja ni miaka zaidi ya 20.Magufuli bado anakazi kubwa sana kuwarudisha watu katika mstari unaofaa na itachukua mda mrefu si leo au kesho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.