Sixtus Mapunda (Katibu Mkuu UVCCM) amvaa Lema Arusha

Sixtus Mapunda (Katibu Mkuu UVCCM) amvaa Lema Arusha

Asenga wa Pakaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2012
Posts
260
Reaction score
61
afungua mashina ya vijana wa CCM jimbo zima,,,awahasa vijana na Wanaarusha kutorudia makosa,nijukumu lao kuchagua mtu anaetafuta makosa ili alalamike ama kuchagua anaetatua makosa ili wapate maendeleo

asema ;"yakowai mabwawa yasamki ambayo Lema aliahidi kwa vijana? na mitaji yakupata leseni za utalii?,,kasahau sasa anabaki analalamika tu serikali ya CCM kumkwamisha, kwani wakati anaahidi ili mumchague hakujua kuwa CCM itashinda zaidi?asitafute sababu,,mwambieni atekeleze ahadi zake,,

lasivyo 2015 kichapo.."
 

Attachments

  • IMG-20140712-WA0085.jpg
    IMG-20140712-WA0085.jpg
    81.9 KB · Views: 1,115
  • IMG-20140712-WA0090.jpg
    IMG-20140712-WA0090.jpg
    85.5 KB · Views: 693
  • IMG-20140712-WA0088.jpg
    IMG-20140712-WA0088.jpg
    63.3 KB · Views: 652
anatafuta kujulikana kwa kumtaja Lema,kapooza sana mpaka hajulikani
 
Asenga eeh hivi "Mwezi wa kwanza makamba amekosea kutangaza nia au yupo sawa"?

Pili: awamu hii unamuunga mkono mgombea gani ndani ya chama chako?

HONGERENI SANA KWA KUFUNGUA MATAWI MAPYA JIJINI ARUSHA
 
CCM ina vijana wengi sana wasomi na weledi!!! Bravo katibu wa uvccm
 
Katika siasa za ARUSHA huyo SIXTUS ni mchanga sana ! Awaulize kwanza wale wanaomlipa .
 
jimbo la arusha halina mbunge tunasubiri uchaguzi mkuu tuchague mbunge.
 
Hivi hadi sasa kuna maeneo CCM hawana mashina.bila shaka kwa miaka mingi walikuwa hawafanyi siasa "ni vitisho tu"
 
jimbo la arusha halina mbunge tunasubiri uchaguzi mkuu tuchague mbunge.

Naona wafu mnafarijiana.Huyo ni dogo sana na sio size ya Lemma,namshauri awarudie waliomtuma awaambie hawezi vaa chupi ya Big Show lazima impwae tu!
 
Jinga kabisa huyo.Akawaulize Mwigulu na Nape kilichowapata kwenye uchaguzi wa Madiwani.Haijui Arusha huyo!
 
CCM ina vijana wengi sana wasomi na weledi!!! Bravo katibu wa uvccm

Hao wachumia tumbo nao tuwaite wasomi? Hao wasomi wengine waliopo ccm wamelisaidia nini taifa kwa ya miaka 53 ya uhuru zaidi ya kugeuka mafisadi na wezi wa mali za umma?
 
Hivi mbona magamba hawakati tamaa na Arusha kama Mwanza,maana Mwanza viongozi wao hata hawajulikani wanafanya nini
 
Mtarukaruka sana lakini Arusha ni chadema Arusha hamtakula kitu chochote ndio chem chem wa ukombozi madiwani tu tuliwapa rasharasha sasa baado tiba yenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom