Tangu kesi ya Mbowe nimekuwa natembelea sana clubhouse na leo ilikuwa ni bahati.Simjui huyo Mapunda lakini amenivutia sana kwa alivyojibu maswali.Promo
Tangu kesi ya Mbowe nimekuwa natembelea sana clubhouse na leo ilikuwa ni bahati.Simjui huyo Mapunda lakini amenivutia sana kwa alivyojibu maswali.
Umeona! Alafu wwe Jamaa unaakili kubwa sana za kiuuchunguzi!I'd yako ni MIGNON ukiipanga vizuri inakuja MNGONI, Mapunda ni wangoni.
tukisema ni wewe mwenyewe umekuja kujimwambafai utabisaha.?