Six pack zimesababisha nikose mpenzi

Mbona watu wa dar mnapenda sifa sana,eti sixpack,wewe kuza hilo limwili usitafute hela halafu uzeen uanze kutetemeka ******* na kusumbua wajukuu,,eti akaja kuomba kampan mtu hakujui hata,mbona wewe ni muongo?au uliwatungia watoto wa darasa la tatu au?
 
kwenye maduka ya wahindi utapata hadi ten packs wanauza nena
 
Huyo suzy ana nyanyua nondo nini mwanamke kutoa vishindo sio mchezoooo!!!!!!
 
uyo demu anaweza akawa ni jini, haiwezekani ad ufukweni akitembea unaskia vishindo.....
kuwa makini mjomba...

hizi story za kutunga bhana....
 
Hii tabia ya kuweka walinzi wazee kwenye geti la Mirembe lazima ipigwe vita, wagonjwa wanatoroka sana,
 
hadithi za kusadikika........
 
Sasa wewe mwenye 1 pack umeachwa,mie mwenye (0.5) a half pack je??
 

tuachane na hayo kwanza hebu niambie twishen unaenda saa ngapi????
 
Hahahahahahaaaaaaaaaaa yabidi nicheke tu hahahah duh raha sana JF.
Cc Mamaafacebook njoo uone huku vutuko
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…