dogo warabu wanatengeneza wao weneywe silaha siku nyingi wewe umelala sana. Hebu soma kisa cha Egypt na Iran kuhusu silaha zao.
Jamani Waisraeli siyo Wakristo. Maana wengi wanawatetea kwa sababu hiyo. In fact, Waisraeli wanawachukia sana Wakristo na ndiyo maana wakakubali kuitoa Bethlehem kuwapa Wapalestina. Kama wangekuwa waupenda Ukristo wasingeiachia, kama wanavyoing'ang'ania Jerusalem.
Kuna watu wengi hapa hawakwenda shule za uhakika!
dogo hebu we niambie Israel anatengeneza silaha gani ya mana?Efficiency ya hizo silaha ni ipi? ikiwa hao Iran ndio wanawapa Hizbollah na Hamas ambao hushambulia Israel mara kwa mara na kusababisha Israel kushambulia na kuharibu Palestina kila vita inapozuka lkn miji ya Israel haiathiriki kama ya Palestina, utasema ni silaha za vita kweli au ni toys tu?
Huwezi kupata picha kwa kuwa Hamas hawajawahi kufanikiwa kuwapiga Israel
Kwa chuki ya Hamas dhidi ya Israel, na kwa jinsi Israel anavyopiga, na kuharibu miji ya Palestina; kama hao Hamas na Hizbollah wangekuwa na uwezo wa kuipiga Israel, Israel leo isingekuwepo kama alivyotamani Ahmednajad alipokuwa Rais wa Iran.
lengo la kuundwa hezbullah ilikua ni kupambana hadi kuyaondoa majeshi ya israel kusini mwa lebanoni na hilo walifanikiwa.
dogo hebu we niambie Israel anatengeneza silaha gani ya mana?
We wacha story anauza kitu gani zaidi ya copy and paste kutoka USA, afu anajidai manufacture in Israel. We nipe jina la ndege hata moja ya kivita anayo tengeneza Israel?Tafuta ktk vyanzo mbalimbali, tutapata majibu kuwa Israel pia ni muuzaji mkubwa wa silaha, na teknolojia za kjeshi.
dogo wacha kudanganya toto hapa, Israel alitolewa kibavu na Hezbollah akakimbia Lebanon, hebu nipe wapi Lebanon aliwahi kusign mkataba na Lebanon kama wa Misri na Israel?Israel walijiondoa au waliondoshwa kwa nguvu? Israel ilijiondoa Lebanon kama jinsi ilivyojiondoa Sinai Misri. Kujiondoa huko ilikuwa kwa Mkataba baina ya Israel na Lebano kwa maslahi ya pande zote mbili kama ulivyokuwa Mkataba baina ya Misri na Israel; Camp David Treaty.
Hebu nipe jibu, kwa nini Israel haijajiondoa ktk Milima ya Golan ingawa Syria jeshi, Hizbollah na Hamas nao wapo?
Israel walijiondoa au waliondoshwa kwa nguvu? Israel ilijiondoa Lebanon kama jinsi ilivyojiondoa Sinai Misri. Kujiondoa huko ilikuwa kwa Mkataba baina ya Israel na Lebano kwa maslahi ya pande zote mbili kama ulivyokuwa Mkataba baina ya Misri na Israel; Camp David Treaty.
Hebu nipe jibu, kwa nini Israel haijajiondoa ktk Milima ya Golan ingawa Syria jeshi, Hizbollah na Hamas nao wapo?
Tafuta ktk vyanzo mbalimbali, tutapata majibu kuwa Israel pia ni muuzaji mkubwa wa silaha, na teknolojia za kjeshi.
Israel hana lolote mdomo 2 ana teknolojia ya kupewa kila ki2 ni tegemez 2 hana jipya asubir kuchapwa 2 na kitoto km hzbulah
Kitu gani nilicho sema ni porojo imefika tarehe 29-01-2015 au 01-02-2015 mpaa useme ni poroja. Afu sikusema na uhakika lazima uwe unasome between the line, nilicho sema nimesikia. Sa poroja zangu zipi tena.
dogo Google ni kitu gani? au face book yani hapo ndio umeona deal kubwa sana? kumbuka hivyo bila internet havifanyi kaz sa hio ndio elimui. Kweli ukiwa mjinga ni noma sana. Kuhusu atomic bomb Iran anabembelezwa na USA asitengeneze na USA yuko tayari kumuondolea vikwaza na Iran bado anamzungusha USA si ajabu mpaa Iran kakubali deal kasha kuwa nayo.
waarabu na iran bila warusi hawana chochote, scientist wote wa iran wanaenda kula desa urusi, kwa jinsi muiran na waarabu walivyomkamia myahudi kama wangekua wanamzidi nguvu kama unavyosema hakika israel asingekua hapo, washafanya kila njia wameshindwa, silaha ya pekeedogo warabu kila wakipigana wanapigana na Israel bila msaada wa nchi yoyote ile. Israel kuwa na nguvu kuliko warabu ni ndoto tu ya wakristo, kama mlivyo daganywa na Paulo kuwa Prophet Jacob kapigana na malaika wa Mungu akamshinda ndio akaitwa Israel. Ni kichaa tu ndio anaweza kuamini maneno hayo, Israel na Jacob ni watu wawili tofouti kabisa hata bibilai zenu zinasema vile. Isaiah 9:7 and 14:1 Utaona hao ni watu wawili tofauti.
israel anatumia ndege F16 za mmarekani,wakati huo uturuki anazitengeneza hizo F16.
anatumia helcopter blackhwk za marekani wakati irani anatengeza helcopter Toufan mwenyewe.
irani anatengeza manowari za kivita,submarine na hata jetfighter
wakati israel hana homemade jetfighter,submarine,manowari