Six Hezbollah fighters killed in Israeli attack

dogo nimeisha kuambia Israel hawezi kupigana na Hamas aweze kupigana na nchi za kiarabu, huyo bila USA hana kitu.

Mnasema ameshindwa kumchapa hamasi halafu kila siku unapiga kelele hapa Israel akiishughulikia hamas mbona unanichekesha.
 
Kama hawajipendi walipize kisasi, watashehelekea ushindi baada ya Raia wao 2000 kuuawa, na Wayahudi 15 kuuawa

Maeneo ya Golan waliuwa wanatafuta nini?

Kajifunze kuandika Kiswahili kwanza. Kama Kiswahili chakupa taabu Kiingereza utakijua? Nani kakusaidia kusoma haya unayoandika ?
 
Jamani Waisraeli siyo Wakristo. Maana wengi wanawatetea kwa sababu hiyo. In fact, Waisraeli wanawachukia sana Wakristo na ndiyo maana wakakubali kuitoa Bethlehem kuwapa Wapalestina. Kama wangekuwa waupenda Ukristo wasingeiachia, kama wanavyoing'ang'ania Jerusalem.
Kuna watu wengi hapa hawakwenda shule za uhakika!
 
Inasemekana tarehe 29-01 au 1-02 Hezbollah atarudisha kichapo na Israel sa hivi kijasho kinamtoka anaogopa Hezbollah asiripue Haifa refinery, one of only two such installations in Israel.
 
Mnasema ameshindwa kumchapa hamasi halafu kila siku unapiga kelele hapa Israel akiishughulikia hamas mbona unanichekesha.
dogo Israel hawezi kuwashinda Hamas hata siku moja, unakumbuka vita iliyo pita Israel alisema anaingia Gaza kuwamaliza Hamas, amini usiamini aliingia km 1.5 akatolewa mkuki, na hakuzivunja silaha za Hamas, na kila siku zilivyo kuwa zikienda anarushiwa missile za kila aina. Israel anacho jua nikuvunja majumba tu na kuwa watoto, afu anajidai eti majumba hayo kuna silaha za Hamas, kama kweli Hamas anaweka silaha kwenye majumba, angeisha shindwa zamani kama silaha zake ziko kwenye majumba. Hamas/Hezbollah ya Lebanon ni moto wa kuotea mbali kwa Israel.
 
wanaotazama akhera ndo hao wanaoshinda mkekani wanaiashia kupambana na mtu mwenye kifaru kwa kutumia mawe, elimu ya myahudi huijui? unaijua google? unaijua facebook? unaijua atomic bomb?
dogo Google ni kitu gani? au face book yani hapo ndio umeona deal kubwa sana? kumbuka hivyo bila internet havifanyi kaz sa hio ndio elimui. Kweli ukiwa mjinga ni noma sana. Kuhusu atomic bomb Iran anabembelezwa na USA asitengeneze na USA yuko tayari kumuondolea vikwaza na Iran bado anamzungusha USA si ajabu mpaa Iran kakubali deal kasha kuwa nayo.
 
Inasemekana tarehe 29-09 au 1-02 Hezbollah atarudisha kichapo na Israel sa hivi kijasho kinamtoka anaogopa Hezbollah asiripue Haifa refinery, one of only two such installations in Israel.

Waislam ni watu wa porojo tu.... Hakika Mtafaace irony Hand
 

Kwani Hamas na Hezbollah huwa wakupiga makombora ndani ya Israel huwa wanalenga nini? Achana na kitu kiitwacho vita; vita haina macaho, mengineyo ni propaganda tu.
 
dogo nimeisha kuambia Israel hawezi kupigana na Hamas aweze kupigana na nchi za kiarabu, huyo bila USA hana kitu.

Hapa unachobisha hakieleweki. Hamas san a teknolojia ya kutengeneza silaha gani ambazo Israel hawawezi?

Kama hoja yako ni kuwa Israel hawezi kupigana bila msaada wa USA, Waarabu wao wanaweza kupigana dhidi ya Israel bila msaada kutoka nje?

Nijuavyo mimi, na huu ni ukweli, hata pande zote zinazohasimiana yaani Israel au Waarabu wataingia kupigana bila kutegemea silaha za misaada ya nje, kila Taifa likitumia teknolojia take ya ndani bado Israel wana nguvu kuliko Waarabu.

Sikulazimishi kukubali lkn ukweli ni kuwa Israel wana uwezo wa kusimama na kupigana vita bila msaada kutoka nje lkn Waarabu hawawezi kuingia vitani bila msaada kutoka nje. Hutaki unaacha.
 
Waislam ni watu wa porojo tu.... Hakika Mtafaace irony Hand
Kitu gani nilicho sema ni porojo imefika tarehe 29-01-2015 au 01-02-2015 mpaa useme ni poroja. Afu sikusema na uhakika lazima uwe unasome between the line, nilicho sema nimesikia. Sa poroja zangu zipi tena.
 
Kwani Hamas na Hezbollah huwa wakupiga makombora ndani ya Israel huwa wanalenga nini? Achana na kitu kiitwacho vita; vita haina macaho, mengineyo ni propaganda tu.
Wale wakipiga wao wanalenga ma camp ya jeshi la Israel au Industries area za Israel au Air port, mara moja moja sana missile zao zinapiga majumba. Sio hao jamaa zako kila kukicha wao kupiga majumba, Hospital na shule.
 
Wale wakipiga wao wanalenga ma camp ya jeshi la Israel au Industries area za Israel au Air port, mara moja moja sana missile zao zinapiga majumba. Sio hao jamaa zako kila kukicha wao kupiga majumba, Hospital na shule.

Naona umejikamua kujibu, japo kwa aibu. Unajibu uongo huku ukweli unakusuta. Pole Mkuu ila ukweli utakuweka huru.
 
dogo warabu kila wakipigana wanapigana na Israel bila msaada wa nchi yoyote ile. Israel kuwa na nguvu kuliko warabu ni ndoto tu ya wakristo, kama mlivyo daganywa na Paulo kuwa Prophet Jacob kapigana na malaika wa Mungu akamshinda ndio akaitwa Israel. Ni kichaa tu ndio anaweza kuamini maneno hayo, Israel na Jacob ni watu wawili tofouti kabisa hata bibilai zenu zinasema vile. Isaiah 9:7 and 14:1 Utaona hao ni watu wawili tofauti.
 
 
Naona umejikamua kujibu, japo kwa aibu. Unajibu uongo huku ukweli unakusuta. Pole Mkuu ila ukweli utakuweka huru.
Hebu nionyeshe nyumba walizo piga Hamas kule Israel kama utazipata basi ni mbili au tano tu. Israel yeye anapiga siku zote majumba, vita ya Hezbollah na Israel kavunja majumba tu, na vita yeye na Hamas kavunja majumba tu, sijaona kavunja silaha za Hezbollah au Hamas.
 

huwa anaharibu kukomoa,eti wanaita turn to stone age,yaani anakurudisha nyuma kimaendeleo makusudi,lakini beiruti leo imejengwa na hata gaza watajenga tena
 

Hizo silaha wanazotumia Waarabu vitani zinatengenzwa na nchi gani ya Kiarabu?
 
Hizo silaha wanazotumia Waarabu vitani zinatengenzwa na nchi gani ya Kiarabu?
dogo warabu wanatengeneza wao weneywe silaha siku nyingi wewe umelala sana. Hebu soma kisa cha Egypt na Iran kuhusu silaha zao.
http://www.merip.org/mer/mer144/arms-industries-middle-east
 

Huwezi kupata picha kwa kuwa Hamas hawajawahi kufanikiwa kuwapiga Israel
Kwa chuki ya Hamas dhidi ya Israel, na kwa jinsi Israel anavyopiga, na kuharibu miji ya Palestina; kama hao Hamas na Hizbollah wangekuwa na uwezo wa kuipiga Israel, Israel leo isingekuwepo kama alivyotamani Ahmednajad alipokuwa Rais wa Iran.
 
dogo hizo ni akili za wajinga tu, Hamas wakipigana vita wao wanavuruga vifaru, camp za jeshi wanajeshi wa Israel hizo ndio tabia zao, wao hawavunji majumba na kuwauwa watoto wadogo. Hamas si vichaa ni vichaa tu ndio wanaenda vunja majumba na kuwauwa watu wasio na hatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…