A Hezbollah statement said an Israeli helicopter fired missiles on Sunday at Jihad Mughniyehs car in Quneitra, near the Israeli-occupied Golan Heights, killing a total of six members of the group.
Mughniyeh, 20, was the son of Imad Mughniyeh, who was killed in the Syrian capital Damascus in 2008, also in a suspected Israeli attack.
Imad Mughniyeh was on the most-wanted list of the US for attacks on Israeli and Western targets until his killing.
Mohamad Issa, the chief of Hezbollah operations in Syria, who died in the air strike, is also a big name, making this a major strike on Hezbollah, Al Jazeeras Nicole Johnston, reporting from Beirut, said.
The group says there will be retaliation for the attack.
Source: Six Hezbollah fighters killed in Israeli attack - eReporter
dogo wacha mbwembwe nyingi Israel kasha anza kuogpa mgazeti yote ya Israel wanauhakika Hezbollah atarevenge tu, na hao Hezbollah wakisema kitu huwa si jokes. Afu hio ya kusema Hezbollah hawajawapat watu wake mshahara sijui umeitoa wapi.Hawa jamaa kila wanapojipanga kuipiga Israel Wanawahiwa... khofu tele imewapata Waarabu hawajui jinsi ya kumpiga Muisrael japo na usaidizi wa Muajemi Iran... Kati ya hao Muiran mmoja alikuwemo.... ndio maana na Wairan wamekuja juu lakini hawana la Kufanya... na Hezbollah kwasasa wamefirisika.. hawana Kitu mishahara hawajalipana huu mwezi wa tatu unaisha so wanatafuta pa kutokea kuichokoza Israel ili wasaidiwe.... wamewahiwa na watapigwa kila wakijaribu... Waziri wa Israel amesema Hezbollah walikuwa wanafanya nini Syria maana walishasema wao hawahusiki na vita ya Syria... maana waliouwawa walikuwa wakijiandaa kurusha makombora kwa uelekeo wa Ndani ya Israel... ndio kimewakuta cha 40
dogo wacha mbwembwe nyingi Israel kasha anza kuogpa mgazeti yote ya Israel wanauhakika Hezbollah atarevenge tu, na hao Hezbollah wakisema kitu huwa si jokes. Afu hio ya kusema Hezbollah hawajawapat watu wake mshahara sijui umeitoa wapi.
Mbona kama miezi miwili walilipisha kisasi na Israel hawajafanya kitu. Israel kawashiidnwa Hamas atawaweza Hezbollah. Hamas aliwapiga Israel mpaa wakaishiw asilaha wakanz akukomba na USA alizoziweka pale Israel. We tuliza ball utege masikio Hezbollah sio lele mama apigwe asirudishe. Na uhakika Israel hawezi kuingia vita kubwa na Hezbollah sababu Hezbollah kisha toa ahadi atabadilisha ramani za Israel safari hii, ikitokea vita kama ile ya 2006.Kama hawajipendi walipize kisasi, watashehelekea ushindi baada ya Raia wao 2000 kuuawa, na Wayahudi 15 kuuawa
Maeneo ya Golan waliuwa wanatafuta nini?
upo mke wa hezbollahMbona kama miezi miwili walilipisha kisasi na Israel hawajafanya kitu. Israel kawashiidnwa Hamas atawaweza Hezbollah. Hamas aliwapiga Israel mpaa wakaishiw asilaha wakanz akukomba na USA alizoziweka pale Israel. We tuliza ball utege masikio Hezbollah sio lele mama apigwe asirudishe. Na uhakika Israel hawezi kuingia vita kubwa na Hezbollah sababu Hezbollah kisha toa ahadi atabadilisha ramani za Israel safari hii, ikitokea vita kama ile ya 2006.
Nimekuwa mke sasa hahaha kweli wendawazimu wako wengi sana duniani, na wewe sijui ni mke wa Israel? dogo sikia mme wako anasema nini, Israel: Hezbollah Firepower Greater Than That of All European Countries Together Israeli army chief: Hezbollah's power underrated | i24news - See beyondupo mke wa hezbollah
Nimekuwa mke sasa hahaha kweli wendawazimu wako wengi sana duniani, na wewe sijui ni mke wa Israel? dogo sikia mme wako anasema nini, Israel: Hezbollah Firepower Greater Than That of All European Countries Together Israeli army chief: Hezbollah's power underrated | i24news - See beyond
Hezbollah and Iran are making Israel appear isolated and divided - Middle East - World - The Independent
Wewe black jews naona povu linamwagika ovyo.Hahaha, unasifiwa na adui nashangilia kweli mwarabu hana ubongo.
dogo asiye na bongo ni yule anategemea USA. Asiye na akili si yule anaye sema binadamu kawa Mungu.Hahaha, unasifiwa na adui nashangilia kweli mwarabu hana ubongo.
waoga hao jamaa wacha kabisa. kwanza kabisa wamekiona kipigo cha gaza, wanajua majumba yao beirut yatakuwa mavumbi muda si mrefu. israel mwenyewe anatamani siku walianzishe ili amalize kazi kwasababu kule juu threat ya syria haipo kabisa asad kwisha habari yake israel wameenda kupiga hadi damascus hakuna reprisal. hao unaowaona hapo wote waiafutwa na israel itaendelea kusimama wao watabaki kuomba pesa za kujenga vigorofa vyao kama vya kariakoo kule beirut.Hawa jamaa kila wanapojipanga kuipiga Israel Wanawahiwa... khofu tele imewapata Waarabu hawajui jinsi ya kumpiga Muisrael japo na usaidizi wa Muajemi Iran... Kati ya hao Muiran mmoja alikuwemo.... ndio maana na Wairan wamekuja juu lakini hawana la Kufanya... na Hezbollah kwasasa wamefirisika.. hawana Kitu mishahara hawajalipana huu mwezi wa tatu unaisha so wanatafuta pa kutokea kuichokoza Israel ili wasaidiwe.... wamewahiwa na watapigwa kila wakijaribu... Waziri wa Israel amesema Hezbollah walikuwa wanafanya nini Syria maana walishasema wao hawahusiki na vita ya Syria... maana waliouwawa walikuwa wakijiandaa kurusha makombora kwa uelekeo wa Ndani ya Israel... ndio kimewakuta cha 40
dogo wacha mbwembwe nyingi Israel kasha anza kuogpa mgazeti yote ya Israel wanauhakika Hezbollah atarevenge tu, na hao Hezbollah wakisema kitu huwa si jokes. Afu hio ya kusema Hezbollah hawajawapat watu wake mshahara sijui umeitoa wapi.
dogo asiye na bongo ni yule anategemea USA. Asiye na akili si yule anaye sema binadamu kawa Mungu.
dogo utacheka sana we tulia tu, kwanza toka lini gazeti la Israel likajua Hezbollah anapesa au hana, ameshindwa kujua Rocket ngapi anazo Hezbollah akajue anapesa ngapi? Hahaha kweli wakristo akili hamna. Ujumbe ndio huo umeisha anza kusambazwa Israel kwa lugha ya kiarabu na kiyahudi.Nasurllah anasema; Ni maeno mawili tu, jiandaeni kwenda kwenye mahandaka.
Hawa jamaa kila wanapojipanga kuipiga Israel Wanawahiwa... khofu tele imewapata Waarabu hawajui jinsi ya kumpiga Muisrael japo na usaidizi wa Muajemi Iran... Kati ya hao Muiran mmoja alikuwemo.... ndio maana na Wairan wamekuja juu lakini hawana la Kufanya... na Hezbollah kwasasa wamefirisika.. hawana Kitu mishahara hawajalipana huu mwezi wa tatu unaisha so wanatafuta pa kutokea kuichokoza Israel ili wasaidiwe.... wamewahiwa na watapigwa kila wakijaribu... Waziri wa Israel amesema Hezbollah walikuwa wanafanya nini Syria maana walishasema wao hawahusiki na vita ya Syria... maana waliouwawa walikuwa wakijiandaa kurusha makombora kwa uelekeo wa Ndani ya Israel... ndio kimewakuta cha 40
dogo Mwenyezi Mungu allsiha walani wayahudi hawawezi kuwazidi warabu kwa kitu chochote, nenda shule kajifunze wayahudi wako wangapi duniani na warabu wako wangapi, Sababu unaongea kama wale watoto wanao soma vidudu.nyie waarabu niwaoga sana hao wayahudi wako milioni kumi waarabu mko milioni mia tatu mmewazunguka kila kona mnashindwa hata kutembea kwa miguu bila hata kutupa jiwe moja mkachukua hiyo nchi. wingi wenu ni wa bure. kama mungu hawezi kuwa mwanadamu basi huyo si mungu, mungu hana mipaka ya kuwa chochote anachotaka.
upo mke wa hezbollah
Sawa tutaona nani anakimbia kwenye mahandaka na kuomba vita isimamishwe. Nasrullah haishi kwenye mahandaka dogo wacha uwongo anaishi sehemu sio USA wala Israel wataweza kumgusa, Israel anawinda kumua miaka nahawajui anaishi wapi. Afu mnajidai USA na Israel wanaona kila kitu hahaha.hahahaha, anaewatangazia wenzake waende kwenye mahandaki yeye miasha yake yote ni kwenye handaki amekuwa kama maiti kwenye mwanadani. hii dunia haiishi vituko.