Siwezi

Siwezi

Usiogope mdogo wangu,unajua kutongoza ni sanaa kama sanaa nyingine, unachotakiwa kujua ni kwamba sio lazima uwe msanii ili uweze kutekeleza sanaa,unaweza kulipa wasanii wakakufanyia sanaa,lipa watu wakutongozee.

Pia inaonekana bado uko chuoni/shuleni, subiri kwanza umalize shule ndio ujikite kwenye hayo mambo. tafuta pesa wanawake watakuja wenyewe wala hutahangaika kutongoza,watajitongozesha wenyewe.

Pole sana .
 
fuata ushauri wa kiongoz utakusaidia
 
...ukimpenda mdada we mwambie "dada limoyo langu limekudondokea" hilo ni tongozo full.
 
Usiogope, kwa lidunia la leo wala hutahitaji kwenda skuli kujifunza hayo maneno wala hutahitaji kuja humu jf. Piga pamba saafi, tembea ka mtu anayejua anako kwenda, ukiwaona wale opposite sex, jifanye ipo bizze kinyama na kuwa huwaoni. Kesho tu utaona wanaanza kudondosha pen, kitambaa cha mkono. Kiinue, mwite mwambie; "Dada umeangusha kitambaa". Akipokea tu, mguse mkono shika kidole, tayari umeshamaliza shule ya kutongoza. Kwa heri. Mafunzo zaidi ni gharama, lazima utulipe
 
Duuuuh!
 
HALELUYA MOSHI;
Usishangae, siku za leo wanaume wanatembea na visu kujilinda wasibakwe na wamama. Umesikia kisa cha Moro, mtoto wa kike wa miaka 9 kamtokea dreva wa boda boda! Miaka 9! Upo hapo.
Aingiliwe na jamaa la miaka 39 ati limpe shs 2000/= (Buku mbili)!!! Haya sasa ni maajab ya dunia.
 
Hiyo sanaa ilikuwa zamani siku hizi hakuna hayo mambo,tafuta hela kwanza halafu utaona mwenyewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom