Siwezi kuwa rafiki na mwanamke.

Siwezi kuwa rafiki na mwanamke.

Hoja imeungwa mkono..Hata mim cwezi hyo kitu asee..yaani wenye urafiki na wanawake hupata shida Sana.kwa mfano demu anaweza kuitwa na mshikaji wake.wanavyoongea tu unajua wanaenda gongana, na unaambiwa byee Juma naenda kwa rafki yangu happo africana..ewe mwanaume wa Leo usijitahidi kulala ,,ukiona hivyo hiyo nafas chukua wew..akikataaa vunga lkn pinga San kuwa rafiki wa kawaida yaan Kaka na dada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nanyie msifikilie kwa vichwa vya chini mbona kawaida sana mimi ninao marafiki kama watatu hivi
 
Hoja imeungwa mkono..Hata mim cwezi hyo kitu asee..yaani wenye urafiki na wanawake hupata shida Sana.kwa mfano demu anaweza kuitwa na mshikaji wake.wanavyoongea tu unajua wanaenda gongana, na unaambiwa byee Juma naenda kwa rafki yangu happo africana..ewe mwanaume wa Leo usijitahidi kulala ,,ukiona hivyo hiyo nafas chukua wew..akikataaa vunga lkn pinga San kuwa rafiki wa kawaida yaan Kaka na dada.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwa kuunga mkono hoja mzee. Na huo ndio uzalendo wa kutetea haki yako mwanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi huwa wana pretend kuwa urafik lkn mionyoni mwao ni unafiki wanawataka kimapenzi huo urafiki lengo kubwa hua n mapenz sijaona jipya
Mkuu huko sio kupretend ni kucontrol hisia zako. Sio kila mara uutumikishe mwili vile matamanio yako yanavyotaka. Kuweza kudeal na hisia zako ndio uanaume huo.
 
Back
Top Bottom