Siwezi kuwa rafiki na mwanamke.

Siwezi kuwa rafiki na mwanamke.

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
1,440
Reaction score
2,967
Hili bwana limenishinda.

Eti utakuta mwanaime na mwanamke ni marafiki kabisa.

Aaaaaaaaa
Kwakweli kwa upande wangu wote waliokuwa wanahitaji ukaribu nami waliambulia ABDALA KICHWA WAZI.

huo ndio ulikuwa mwisho wa insha.

We unaweza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi huwa wana pretend kuwa urafik lkn mionyoni mwao ni unafiki wanawataka kimapenzi huo urafiki lengo kubwa hua n mapenz sijaona jipya
 
Kuna mwanamke niliacha nae enzi za ujana. Yeye alianzisha urafiki na co worker wake mwisho wa siku wakaanza kutongozana. Kilichofuata nikawaachia nafasi.
 
Inategemeana na mwanamke mwenyewe,kwa mfano mwanamke kama huyu akiwa rafiki yako wala haina shida![emoji4]
tapatalk_1552164764058.jpeg
 
Naweza kuwa rafiki na mwanamke kwa Namna ya Friendship of utility yaan kuna faida naipata katika urafiki huo either wa kibiashara/fedha au fursa, lakini tofauti na hapo tuishie kufahamiana tu lakini sio marafiki. Mwanaume kamili utakuaje na urafiki na mwanamke asiye na maslahi kwako otherwise muwakiane tamaa za kimwili tu kinyume na hapo wewe mwanaume unakuaje rafiki na mke/mpenzi wa mtu? Mnashea mambo gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom