ukiwa na hela utongozi wankuja wenyewe
nijikaza sana nisichangie post yako ya tigo lakini ulivochangia hapa pamoja muonekano wako kwenye avator yako ni wazi kua wewe ni mtoto Idi, very awesome!
si ndio hapoa anataka mambo ya kuomba namba ya simu na usiku kutaka kumpigia simu masaa mawili wakati hata hela ya vocha harushi,siku hizi unamtoa dinner au lunch mara ya kwanza,mara ya pili mnaenda sinema mara ya tau beach ya nne club kama ni watu wa hivyo alafu ndio ntoleee hiyo,mkiamka asubuhi mnabdilishana majina mnaanza kuitana `baby`Mbona ishu za kutongozana zilishaisha siku nyingi na wewe? Watu wazima tunatoana "out" tu, na mambo yote yanaishia huko huko!
no like my mother, you remind me of her!kama alivyo babako?
Unaona enhee pesa inaongea
afikiria kujaribu ushauri wako...siku hizi unamtoa dinner au lunch mara ya kwanza,
mara ya pili mnaenda sinema
mara ya tau beach ya nne club kama ni watu wa hivyo alafu ndio ntoleee hiyo,mkiamka asubuhi mnabdilishana majina mnaanza kuitana `baby`
Aisee cjui nianzishe tuition ya kufundisha hii makitu!
Naona wateja wapo!
Ngoja nikamate fursa niende zao!
Sasa jeee....?si ndio hapoa anataka mambo ya kuomba namba ya simu na usiku kutaka kumpigia simu masaa mawili wakati hata hela ya vocha harushi,siku hizi unamtoa dinner au lunch mara ya kwanza,mara ya pili mnaenda sinema mara ya tau beach ya nne club kama ni watu wa hivyo alafu ndio ntoleee hiyo,mkiamka asubuhi mnabdilishana majina mnaanza kuitana `baby`
tatizo lako unataka kucheza uefa kabla ya kuingia top four ligi ya nyumbani , anza kwanza na mademu wa kawaida ikiwezekaana hata mabeki tatu ukishwazoea ndio upande daraja sio unajijua domo zege,stori huna hela huna alafu unataka demu classic?? yatakukuta yaliyowakuta manchester ohoo!!
ukimalizia chuo, jiunge na kozi ya kujifunza kutongoza