Siwezi kusahau maisha......

binafsi mimi pia sio mtakatifu sana kwamba niinue mkono wangu juu yako,
tubu kwa kumaanisha kuacha.

Uzuri wa Mungu ukitubu huwa anasamehe na huwez amini yawezekana isikulazimu kwenda kwa uliyemkosea kwani Mungu anasema mtakapoitwa hukumuni msijiulize ulize mtasemaje manake mtapewa saa mtakayo sema na sio nyie mtakao sema bali roho wangu mtakatifu akaaye ndani yenu ndiye atakayesema.

nakutia moyo kama kweli umetubu no matter ulitenda dhambi gani Mungu atamtuma roho wake akakuombee samahan na utashangaa upatanisho umepita kati yenu.
barikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…