Wadau, binafsi sijaoa si kwamba sipendi; napenda sana ila kila nikilifikiria napata kigugumizi kulichukulia hatua.
Nafanya kaz kwy tasisi binafsi, jambo moja huwa linaniumiza sana kwa mda mrefu & now its too much, hapa kazini wanawake walio olewa tena na pete zao vidoleni plus watoto, wanashindwa kujali heshima walionayo, wao ndo wanatoka na vijana mida ya nchana kwnda guest na kuwasaliti waume zao. Hii ni sample I hop km hapa ipo basi hata ofisi nyingine IPO...
Bad enough wanaotoka nao wanawafanya vibaya hadi kinyume na maumbile. Tena ghalama wanalipa wasaliti wenyewe. Waume zao wanajua wapo kazin jioni wanarudi kimyaaa, mme anajua nimempata mke, du kumbe hamna kitu. mbaya zaidi hata kinga hawatumii....
Laiti km waume wangekuwa wanawanyemelea wake zao wanavyo behave wawapo kazini ndoa zingeisha walai!
Hakuna hata matumaini km huu usaliti utakuja isha, mliokwisha oa msiwaamini wake zenu labda kwa 0.2%. tuwaoe wake gani? mama wa nyumbani shida, wafanya biashara napo mh! wafanyakazi ndo hao..
Kazi kwenu mliopo kwny ndoa.....