Mke wangu nimemfumania mara 2 na marafiki zangu, nilipomuuliza akaanza kunitukana na kunieleza kwamba nimelala na mama yake mzazi wakati simjui hata kwa sura kwani wakati tunaoana mwaka 2009 mama yake alishafariki mwaka 2003.
Nifanyeje nimyonge au nijinyonge au nimsamehe au niondoke nikaanze maisha yangu mapya yeye nimuache?
Naombeni ushauri wenu wana jf.
Nifanyeje nimyonge au nijinyonge au nimsamehe au niondoke nikaanze maisha yangu mapya yeye nimuache?
Naombeni ushauri wenu wana jf.