Siwezi kudownload mafile zaidi ya 4GB kwa IDM!

God knows

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
276
Reaction score
173
Nashindwa ku-download mafile yanayozidi 4GB kwa kutumia IDM. Nimejaribu kwenye Windows 7 both 64 bit & 32 Bit bila mafanikio.

IDM yangu ni latest lakini pia ipo cracked. Nikibofya download link, inadakwa na IDM, then inakaa muda mrefu kwenye SEND GET kabla ya kuthrow screen hii:

1.png

Nimezunguka kwenye forums huko nje bila mafanikio. Naombeni msaada kama kuna suluhisho la tatizo hilo.

Note: Naweza ku-download mafile yote isipokuwa yanayozidi 4 GB!!
 
View attachment 176521

Nimezunguka kwenye forums huko nje bila mafanikio. Naombeni msaada kama kuna suluhisho la tatizo hilo.

Note: Naweza ku-download mafile yote isipokuwa yanayozidi 4 GB!!

Try out proxifier if you are transmitting your data thru proxy servers
Nilikua napata tatizo kama hilo kwa mafile yaliyo juu ya 1GB fortunately wewe ni 4GB ila solution ilo nisaidia ni kutumia proxifier
 
Asante!! Ngoja nijaribu then nitakuja kutoa feedback!!
 
jamaa hakusema kua ana2mia proxy server,,,
Hngera yako mavoko kwa kufkiria mbali zaid.
 
Back
Top Bottom