fukara255 Member Joined Mar 29, 2017 Posts 33 Reaction score 11 Mar 30, 2017 #1 Hivi wana jf hili ni tatizo gani yaani siwezi kabisa kuangalia mtu usoni..
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,106 Reaction score 18,715 Mar 30, 2017 #2 Ila unaweza kumuangalia mtu wapi? kwenye kiunoni?
Page 94 JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 5,202 Reaction score 15,231 Mar 30, 2017 #3 fukara255 said: Hivi wana jf hili ni tatizo gani yaani siwezi kabisa kuangalia mtu usoni.. Click to expand... We ni ke au me? Je, una miaka mingapi?
fukara255 said: Hivi wana jf hili ni tatizo gani yaani siwezi kabisa kuangalia mtu usoni.. Click to expand... We ni ke au me? Je, una miaka mingapi?
themanhimself176 JF-Expert Member Joined Dec 28, 2016 Posts 1,836 Reaction score 2,921 Mar 30, 2017 #4 Unataka uwangalie usoni ugundue nini Ila nadhan katika na nyuma kwa katikati wala upati shida
No Escape JF-Expert Member Joined Mar 7, 2016 Posts 6,663 Reaction score 7,816 Mar 30, 2017 #5 Hiyo safi sana Bro...utaepuka mengi sana Dunia hii ya leo,Nyuso za watu zimejaa nuksi Tu.
fukara255 Member Joined Mar 29, 2017 Posts 33 Reaction score 11 Mar 30, 2017 Thread starter #6 Compact said: We ni ke au me? Je, una miaka mingapi? Click to expand... Me
Toxic Concotion JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 5,782 Reaction score 21,010 Mar 30, 2017 #7 waangalie miguuni
not by nature Senior Member Joined Aug 4, 2016 Posts 110 Reaction score 58 Mar 30, 2017 #8 fukara255 said: Hivi wana jf hili ni tatizo gani yaani siwezi kabisa kuangalia mtu usoni.. Click to expand... Tunashare Hilo tatizo asee
fukara255 said: Hivi wana jf hili ni tatizo gani yaani siwezi kabisa kuangalia mtu usoni.. Click to expand... Tunashare Hilo tatizo asee
fukara255 Member Joined Mar 29, 2017 Posts 33 Reaction score 11 Mar 30, 2017 Thread starter #9 rubii said: Ila unaweza kumuangalia mtu wapi? kwenye kiunoni? Click to expand... Eye contact nazungumzia
rubii said: Ila unaweza kumuangalia mtu wapi? kwenye kiunoni? Click to expand... Eye contact nazungumzia
Inna JF-Expert Member Joined Jan 13, 2017 Posts 11,194 Reaction score 27,089 Mar 30, 2017 #10 Me gani waona aibu? Jipe mazoez anza kuzoea kuangalia watu wa karibu yako
Page 94 JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 5,202 Reaction score 15,231 Mar 30, 2017 #11 Inna said: Me gani waona aibu? Jipe mazoez anza kuzoea kuangalia watu wa karibu yako Click to expand... Mama upo? Sijui hata anaombaje Papuchi kama hawezi kuangalia mtu usoni.
Inna said: Me gani waona aibu? Jipe mazoez anza kuzoea kuangalia watu wa karibu yako Click to expand... Mama upo? Sijui hata anaombaje Papuchi kama hawezi kuangalia mtu usoni.
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,106 Reaction score 18,715 Mar 30, 2017 #12 fukara255 said: Eye contact nazungumzia Click to expand... Khe! Sasa unatongozaje we jamaa?
Kazwala mkuu JF-Expert Member Joined Jul 2, 2016 Posts 1,034 Reaction score 2,250 Mar 30, 2017 #13 fukara255 said: Hivi wana jf hili ni tatizo gani yaani siwezi kabisa kuangalia mtu usoni.. Click to expand... Tatizo hili husababishwa na kutojiamini na mwisho wa siku huleta kutokuaminika.
fukara255 said: Hivi wana jf hili ni tatizo gani yaani siwezi kabisa kuangalia mtu usoni.. Click to expand... Tatizo hili husababishwa na kutojiamini na mwisho wa siku huleta kutokuaminika.
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,835 Reaction score 14,729 Mar 30, 2017 #14 Hata ukitongoza?,..maaana mwanamke yeye anaangalia pembenj,na wewe tena pembeni...Hilo tatizo kijana.
Hata ukitongoza?,..maaana mwanamke yeye anaangalia pembenj,na wewe tena pembeni...Hilo tatizo kijana.
fukara255 Member Joined Mar 29, 2017 Posts 33 Reaction score 11 Mar 30, 2017 Thread starter #15 not by nature said: Tunashare Hilo tatizo asee Click to expand... Yaani Mimi labda baba tu ndio naweza wengine siwezi hata mama pia nae huwa ana element hizo
not by nature said: Tunashare Hilo tatizo asee Click to expand... Yaani Mimi labda baba tu ndio naweza wengine siwezi hata mama pia nae huwa ana element hizo
fukara255 Member Joined Mar 29, 2017 Posts 33 Reaction score 11 Mar 30, 2017 Thread starter #16 rubii said: Khe! Sasa unatongozaje we jamaa? Click to expand... Ivo ivo tu nakomaa nao kibishibishi
fukara255 Member Joined Mar 29, 2017 Posts 33 Reaction score 11 Mar 30, 2017 Thread starter #17 No Escape said: Hiyo safi sana Bro...utaepuka mengi sana Dunia hii ya leo,Nyuso za watu zimejaa nuksi Tu. Click to expand... Duuu
No Escape said: Hiyo safi sana Bro...utaepuka mengi sana Dunia hii ya leo,Nyuso za watu zimejaa nuksi Tu. Click to expand... Duuu
mangia22 JF-Expert Member Joined Mar 10, 2017 Posts 446 Reaction score 185 Mar 30, 2017 #18 fukara255 said: Yaani Mimi labda baba tu ndio naweza wengine siwezi hata mama pia nae huwa ana element hizo Click to expand... nenda kwa gwajima ukaombewe fukara255 said: Ivo ivo tu nakomaa nao kibishibishi Click to expand...
fukara255 said: Yaani Mimi labda baba tu ndio naweza wengine siwezi hata mama pia nae huwa ana element hizo Click to expand... nenda kwa gwajima ukaombewe fukara255 said: Ivo ivo tu nakomaa nao kibishibishi Click to expand...
Inna JF-Expert Member Joined Jan 13, 2017 Posts 11,194 Reaction score 27,089 Mar 30, 2017 #19 Compact said: Mama upo? Sijui hata anaombaje Papuchi kama hawezi kuangalia mtu usoni. Click to expand... Ndo hapo sasa! Nipo baba
Compact said: Mama upo? Sijui hata anaombaje Papuchi kama hawezi kuangalia mtu usoni. Click to expand... Ndo hapo sasa! Nipo baba
fukara255 Member Joined Mar 29, 2017 Posts 33 Reaction score 11 Mar 30, 2017 Thread starter #20 Inna said: Me gani waona aibu? Jipe mazoez anza kuzoea kuangalia watu wa karibu yako Click to expand... Sawa nitaanza maana nakosa vingi
Inna said: Me gani waona aibu? Jipe mazoez anza kuzoea kuangalia watu wa karibu yako Click to expand... Sawa nitaanza maana nakosa vingi