Habari zenu wana jamii forum
Mm ni kijana miaka 22 , kuna katabia ninacho nahisi kama ni tabia hasi hivi
. Nikiona dumu la asali tu mate yananitoka, hadi inafika wakat nikiona asali home najimiminia kwenye chupa nakaa nalo chumbani na ni mwendo wa kulamba tu
Mwenye kujua,je haina madhara matumizi ya asali kupitiliza? Maana kuacha uongo