msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,886
hahhaahahah!Ndoa zilivyo ngumu ndo maana wamekupokea kwa shangwe, qe endelea kukenua ndo tayari vitiki vya blue[emoji736]
Ukiona hivyo nakilio chako kiko karibu endeleamoja kwa moja kwenye kichwa cha habari, nadate na mke wa mtu sasa mimi nilijua ni siri yangu na yeye,nashangaa juzi ameniambia nimsindikize mahali vuuuuuuuh tunafika nakuta nimeandaliwa chakula kumbe ni nyumbani kwao,nimemkuta mama yake amefurahi kweli anasema nimesikia mambo yako mwanangu nawatakieni mafanikio kwenye safari yenu,endelea kumtunza mwanangu,daaaah nikabaki nakenua kenua meno tu maana sikujua hata niitikie vipi isee.
ni kama ameachika jamaa yake anamke mwingine!sema huwa anamtembeleaga na hata nyumba anayokaa ni huyo mlugaluga alimjengeaMkuu huyo mke wa mtu kaachika au bado yupo kwenye ndoa
Kuwa makini sana kama bado hajaachika halaf unamwita mlugaluga unamkula mkewe kwenye nyumba yakeni kama ameachika jamaa yake anamke mwingine!sema huwa anamtembeleaga na hata nyumba anayokaa ni huyo mlugaluga alimjengea
duuuuuh me natumia halotel na voda mkuuAndaa tigo maana lazima tule ubwabwa au ufunuliwe marinda. Unakenua na mke wa mtu. Pole
Siku yakikukuta ndo utajua ni mlugaluga au mjanja mwendo...kila la kheri mkuu...na uendelee kumla vizuriini kama ameachika jamaa yake anamke mwingine!sema huwa anamtembeleaga na hata nyumba anayokaa ni huyo mlugaluga alimjengea
Pole sana, watu Wa Tanga ndio wanayaweza hayo. Nina stori moja inafanana na yako.ni kama ameachika jamaa yake anamke mwingine!sema huwa anamtembeleaga na hata nyumba anayokaa ni huyo mlugaluga alimjengea
Aisee komenti zingineNafikiri hiyo uliyokula hapo ukweni ndio hitima yako na matanga umejumlishiwa hapohapo.