Siwaelewi Hamas!

ivi suicide bomber in the midle of the market anaenda heaven ipi? maaana anaua wanawake na watoto kwani hao ndio waendaji sokoni, cud somebody explain this? kuna maandiko yoyote labda somewhere inayompa huyu mtu mamlaka ya kuua watu wasio na hatia na kudai anaenda heaven?

Waisraeli ndio wanaouwa watoto na raia wasio na hatia yeyote ile, tafadhali cheki hapo chini,

check hapo chini,

Palestinian Mothers
 
Mara nyingi Hamas, kikundi cha wapiganaji wa Palestina, wamekuwa wakitaka washirikishwe kwenye mazungumzo ya amani na Israeli, lakini hawaitambui Israeli kama taifa halali! Juzi juzi wakati mazungumzo ya amani kati ya Mahamoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Palestina na Binyamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Israeli yanaendelea, Hamas walirusha makombora ndani ya Israeli na Israeli wakajibu mashambulizi na kuua Wapalestina wawili!

Anyway, hawa Hamas wahusishweje kwenye mazungumzo ya amani wakati wanakataa kuitambua Israeli kama walivyofanya Jordan na Misri hata wakatiliana mikataba ya amani na Waisraeli?

Hawa jamaa kwa kweli hawaeleweki, ndio maana Waisraeli wanaendelea na kujenga Makazi ya Walowezi huko West Bank!


20109510656444580_20.jpg

Saturday's violence came just two days after the start of Israeli-Palestinian peace talks [AFP] Source: Aljazeera.



Hamas ni chama kilichochaguliwa na kushinda kidemocrasia huko Palestine - ambaya imekaliwa kibeberu na Mayahudi. Ukiacha kuingiza dini hamasi ndio chama kilichoonekana kikishughulikia hali ya wananchi na chama ambacho hakikuwa cha bandia. Na nchi nyingi magharibi hawakupenda na kuanza kuwawekea vikwazo hapo hapo. Lakini mpaka sasa wameshindwa kuking'oa hata ile vita ya kuuwa watoto kwa wingi huko gaza na vikwazo vya kuzuia hata chakula. Inatufundisha kitu kimoja hapa!

Hataki kuwaelewa hamasi kwa sababu ni kipofu unamacho ila hauoni, una masikio ila hausikii. Hata kama hawana vyombo vilivyotandaa ulimwengu mzima kama vinavyoongozwa na Israel duniani, hawana mtetezi ila mashujaa wachache. Hata nchi zilizo huru zinaoogopa kufungua midomo yao kwa mabavu ya nchi zenye power lakini dhuluma iwazi kwa mtu mwenye akili.

Pia Bahati mbaya kuna baadhi ya wakiristo wanaomini kuwa hawaingii peponi bila ya kusupport Muisraili hata akinyonga watu ovyo ingawa wayahudi hawatambui Yesu na wanamuona kama ni mwana haramu na hwana ukiristo.

Usiwaele au uwaele Hamas haisaiidii. Wataendelea kupigania haki za watu wao wanaoonewa mpaka siku haki itakoposimamishwa.Maana dawa ya moto ni moto!.
 
Huko uchina subiri wakiwa wengi utaona wanaanza ooh waislamu tunaonewa, oooh...., mwisho wa siku mabomu yataanza kulipuliwa "kwa njia ya Allah!"

China Kuna Waislamu Milioni 39.111 na wanaishi kiusalama kabisa kama sisi waislamu wa tanzania tunavyo ishi kiusalama kabisa, Uislamu ni Usalama.

check link hii chini,

Muslim Population
 
hamasi ni wafilisti-descendants of Goliath, hawawezi kukaaa pamoja na descendants wa David. David alikata kichwa cha babu yao.
Abbas and westbank+jordan are edomites and amonites the descendants of Essau, a twin brother of Jackob-Israel. Ndiyo maana wana compromise

Wallahi sijui ulicho andika ni nini, samahani naomba ufafanuzi zaidi.
 
Kama ambavyo kula na hela ya viongozi wa CCM inavyotokana na umasikini wa waTZ. Hamas na CCM have one thing in common they are well organized criminal organizations ambazo zinavaa mwamvuli wa chama.

Hahahahahahaha! Umeniacha hoi kwa kujumlisha mambo
 
Huu uislamu jamani...................ni dini ya chuki wakati wote..............ua wengi ndugu zako wapate faida kweli dini inafundisha na kuagiza watu kuua hovyo?...dunia bila uislamu ingekuwa salama sana
Jile79 Wewe umesoma mpaka Darasa la ngapi? Kwanza ninataka kujuwa pili hii Topic iliyoanzishwa si juu ya Uislam watu wanazungumzia Hamas wewe unazungmzia chuki zako juu ya Uislam. Ukisema neno Uislam umekusudia Waislam wote sasa inatakiwa ukizungumza zungumza kuhusu Hamas sio Waislam wa Dunia yote usiwe kam hujaenda shule.

Mkuu,
Hamas is the devil at work. Tangu lini shetani akataka amani? Wako kutimiza masharti ya baba yao Ibilisi, jini mkuu na mwanzilishi wa uislamu.
na wewe rmashaur acha Matusi yako ya ki aina aina wewe kwa akili zako unamfuata Paulo aliyekataa watu wasikate Magovi yao? Je wewe umekata Suna?

Unajua ni contadiction, unataka kukaa na mtu mezani ambaye unadai hastahili kuwepo duniani, unapanga kummaliza siku zote!
na wewe Buchanan ulianzisha hii topic jaribu kuzungumzia suala la Hamas sio kuleta maneno yako ya Utumbo, unakuwa kam hujaenda shule?

Don't you think you are inviting the wrath of moslems?
Don't you think you are inviting the wrath of Christianity ?
The truth is one and is indivisible!

(They Kill in the name of freedom, they kill in the name of democracy they kill "suicide" in the name of God... what is this when will this end!? )!! last week somebody made suicide @ the middle of market in Pakistan killd hundreds of women,men & children and he was expecting to go straight to paradise after that! is that a joke!... Wewe njiwa Wanaojiuwa Eti kwa sababu waende Peponi ni hao waarabu wa huko Uarabuni kwa sababu za uaduwi wao na Taifa la ki israil. wewe umesha ona wapi Muafrika muislam akajiuwa eti kuwauwa Wakristo ili aende Peponi? Acha chuki zako juu ya uislam. Angalia topic inavyoeleza hapo juu ni kuhusu Kundi la Hams sio Uislam usizungumze Kichwa Mchungwa semeni kweli acheni chuki zenu juu ya Uislam.

P.S uislam ama islam "peace" ni dini ya amani aikudangaye mtu! uelewa na uroho wa madaraka watu wanakuwa brain washed ndio wanafanya mambo ya ajabu..
Kuhusu swala la palestina halina ubishi! gaza ni ya wapalestina na inakaliwa kwa mabavu hata UN wanajuwa hilo. ni kwamba magaidi wanatumia nafasi hiyo kufanya uhalifu na kujinufaisha kisiasa!

wanaofanya mambo ya ajabu ni waarabu waislam sio Waafrika waislam mkizungumzia museme kuhusu hao Hamas mimi pia nitakuwa pamoja na nyinyi sio kuutukana Uislam acheni chuki zenu zisizokuwa na faida yoyote ile.


nawatakia ead njema! Do your home work before hajakashfu dini ya mwenzako.

Tehetehetehetehetehetehe ,
Mkuu tulishawazoea hao watu.
Nyinyi akina ( rmashauri) tumesha wazoea na Chuki zenu juu ya Uislam Tehetehetehetehetehetehe
 
Back
Top Bottom