The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,147
- 20,078
Huna hoja, kama wamefanya it's too poor, hawajafanya kwanini hawajafanya uzembe, hawajui au hawaaminiki, generally wanatakiwa kuhama kwenye uinjinia wa vitabuni waje kwenye vitendo, ni wapuuzi kuuanzia walimu wao na wao walio soma..! Visingizio kibao ni ujinga sijaona engineer aliyekwenda serikalini kuomba apewe kujenga daraja akanyimwa shida wameunda vikampuni uchwara kuombea tender ili wauze kazi kwa wahindi, wachina na wazungu Afrika must work up..!Una uhakika kwamba kila design ya barabara za Dar wamefanya wahandisi watanzania?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana nimeoita hayo maeneo nimeona. Ile service road zamani ilikua sehemu ya kupaki malori mabovu, sasa naona inatumika. Ni jambo zuri na limepunguza foleni toka Buguruni.Hii design yako ime-apply kwenye makutano ya barabara za Tabata na Mandela. Wanaokwenda Tabata wakitokea Buguruni wanachepuka kabla ya kifika mataa kea kutunia service road. Ingawa service road ilikuwepo siku zote isingeweza kupita maana ungetozwa fine na traffic. Waliporuhusu magari kupita siku hizi mambo yalikuwa mazuri kiasi kwamba unajiuliza kwanini walikuwa wamechelea kufanya haya maamuzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko kote ni makazi ya watu. Labda wabomolewe na kulipwa. Halafu hizi barabara za zamani za mkoloni na huenda wakati huo hatukuwa na ma-engineer.Jana nimeoita hayo maeneo nimeona. Ile service road zamani ilikua sehemu ya kupaki malori mabovu, sasa naona inatumika. Ni jambo zuri na limepunguza foleni toka Buguruni.
Kwenye hiyo hiyo barabara, kama unatoka Tabata unaenda Ubungo hadi ufike makutano ya barabara kuu ndio uendelee na safari, walishindwa kujenga barabara au mchepuko mada baada tu ya kuvuka reli ikapita nyuma ya ile sheli?
Ndio maana nasema haw mainjinia wetu hakuna kitu
Habari ya week end wakuu.
Kwanza naomba kukiri kua kusomea uinjia wowote ninkazi ngumu sana.
Ila mimi binafsi hua siwaelewi mainjinia wa kitanzania hasa civil engineers, hawa wanaohusika na ujenzi wa mabarabara na majengo.
Sijui ni uwezo wao wa kufikiri mdogo au wana matatizo gani, sina wamshaka ndio maana miradi mingi ya ujenzi ya kuvutia na kupendeza inajengwa na wakandarasi wa nje ya nchi.
Tatizo langu hasa liko kwenye barabara hasa za Dar es salaam na mikoa mingine, hawa civil enginerrs sio wabunifu kabisa, hawafikirii mbele na hawaoni picha nzima ya miradi yao ya hovyo wanaoijenga.
Nimeweka sketch map ya Barabara ya Chang'ombe kama mfano kuonyesha jinsi gani nawadharau hawa watu. Mimi sio injinia ila wangeniuliza mimi ningefanya vizuri kuliko wao.
View attachment 584605
Kwa nini gari inayotoka Tazara, lazima ifike point X ndio iende Ilala na Magomeni, kwa nini wasingechepusha njia kwenye pont A gari zote zinazoenda Ilala au magomeni zipite hapo na zisifike point X kisha ziende Ilala
Like wise gari za kutoka Posta au Kariakoo kwenda Chang'ombe na Temeke kwa nini zifike point X kisha ziende Temeke, kwa nini wasingetengeneza barabara ya kuzipitisha hapo kwenye point C.
Vile vile zinazotoka Ilala kwenda posta, kwa nini zifike point X ambapo ni makutano, kwa nini hawakutengeneza barabara hapo point B.
Foleni nyingi Jiji la Dar zimesababishwa na poor construction and designing toka kw ahawa mainjinia wetu. Hata mtu asie injinia anaona kabisa hawa watu hawako sawa.
Kwa kweli mimi nachelea kusema kua nawadharau sana. Mtanisamehe kw ahilo.
Mkuu nafarijika ukisema uhandisi si wote wanaouweza.Habari ya week end wakuu.

Hoja yako ya kwanza haina mashiko, kua na iq ndogo au kubwa hakuhusiani na mtu kua injinia, lakini pia sijazungumzia mainjinia wa fani zote, niko specific na mainjinia uchwara kama wewe wa civil. Zaidi ni kwamba sijawahi kutamani kua injinia, hata kama ningekua nimekosa sifa za kua injinia bado hakuniondolei haki mimi ya kukosoa hovyo hovyo zinazofanywa na mainjinia uchwara kama wewe.Mkuu nafarijika ukisema uhandisi si wote wanaouweza.
Hilo ni pamoja na wewe mwenyewe.
Ni mtu mwenye IQ ndogo anaye generalise, ili aonyeshe tatizo alilo nalo kichwani.
Inaelekea una bifu na uinjinia, pengine ulioutaka lakini ukashindwa kufikia azma hiyo.
Kwanza kabisa tuanze na mcoro wako.
Mataa ya Chang'ombe yako Chang'ombe karibia na Kibasila/Serengeti plant na si hiyo sketch uliyoitoa.
Huo kwanza ninukosefu wa umakini.
Pili, design ya intersection na traffic load yake si kitu rahisi wewe kukielewa pamoja na incoveniences unazopata.
Je umejiuliza hiyo ardhi ya pembeni ni ya nani?
Na je, ni mainjinia wanaowezesga kupata fedha unazotaka kwa mradi huo?
Ni mtu mpumbavu tu, (na si mjinga) asiyeweza kuelewa the rudiments of planning and project execution.
Inaelekea umepata kagari hivi karibuni, lakini nashangaa unakamiliki vipi wakati basic project formulation/execution huzijui.
Na mkiwa wengi watu kama wewe mnaojitia kuelewa wakati hamuelewi, kwa jiji ka Dsm ni majanga.
Nimeona watu wa aina yako mkireverse into the main road/highway!
Kwa ujinga kama huo ukilaumu mainjinia, unakuwa kama kichaa aliyevaa suti, hata uvaeje waonekana kichaa.
Mkuu unakigari uchwara kama kopo na ni9na uhakika hakizidi cc 2500(ingawaje unanekana kama una kispacio), halafu wajidai kuwa na akili ya kuwa challenge mainjinia!Hoja yako ya kwanza haina mashiko, kua na iq ndogo au kubwa hakuhusiani na mtu kua injinia, lakini pia sijazungumzia mainjinia wa fani zote, niko specific na mainjinia uchwara kama wewe wa civil. Zaidi ni kwamba sijawahi kutamani kua injinia, hata kama ningekua nimekosa sifa za kua injinia bado hakuniondolei haki mimi ya kukosoa hovyo hovyo zinazofanywa na mainjinia uchwara kama wewe.
Pili, hoja kwamba mimi siwezi kuelewa hiyo i tersection na traffic yake sio hoja, hujitaji kua jiniasi kiasi hicho kuona ujinga unaofanywa na mainjinia uchwara kama wewe, haihitaji rocket science technology. Mbona tunaona road intersection za nchi nyingine ziko poa, nyie huo ugumu unakua Tanzania tu?
Tatu, hoja ya ardhi pia sio hoja, ardhi kwa sheria za Tanzania ni mali ya serikali, wengine wote ni wapangaji. So kunapotokea maslahi ya taifa mmiliki yoyote wa ardhi serikali inaweza kuichukua na huyo mmiliki akapewa ardhi nyingine.
Mwisho, hoja ya mimi kua na kagari haina mashiko. Huhitaji kua na gari ili uone uharo unaofanyika kutoka kwa nyie mnaojiita mainjinia.
Kwa kukusaidia, jitahidi ujifunze jinsi ya kujenga hoja, achana na character assasination.