Siutaki tena mwezi wa kimataifa. Eid Mubaraq

Dengue

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
2,045
1,463
KWELI TULIKUWA TUKIBURURWA VIBAYA !!!
SIUTAKI TENA MWEZI WA KIMATAIFA.

Miaka mingi tumekuwa tukiambiwa katika membari zetu za Kiansari kuwa tufuate MWEZI wa kokote DUNIANI yaani (MWEZI WA KIMATAIFA).
Tukaona ni jambo zuri kwa Waislamu kuungana duniani kote.

Matokea yake tumekuwa tukitofautiana na FATWA za Mashekhe wa nchi zetu na Serikali zetu na kushinikiza tusali IDI yetu kila msimu unapokuja.

MASHEKHE wengi wakituambia kuwa TUNABURUZWA lakini tulikuwa tukiwaona kuwa wao ndio hawana Elimu na tukawaona wale wanaotukhutubia kwa vishindo kuwa ndio wenye ELIMU.

TULIAMBIWA sana kuwa fikra hii ya MWEZI WA KIMATAIFA ni fikra isiyowezekana kimatendo. Pia ni fikra ya kisiasa kwa zama zetu na kutaka kuipalilia SAUDIA iwe ndio MAREKANI ya Waislamu duniani kote, tuliona ni UONGO.

LEO imenibainikia mwenzenu kuwa kumbe TULIKUWA TUKIBURUZWA VIBAYA na tukielekezwa katika kiza na hata mshumaa hatuna!!.

HUO ulikuwa ni utangulizi wa KUTAHAYARI KWANGU Ewe ndugu yangu, nakunasihi nawe ikubali hakki.

JANA Jumatatu ya tarehe 4/7/2016 kwetu tunaofata mwezi wa KIMATAIFA ilikuwa ni Ramadhani ya 29. Nimeangalia ANGANI sijaona mwezi wowote ule na ANGA yetu ilikuwa safi kabisa.

Hujiuliza kwa nini sisi ANSARI SUNNA miaka yote hatuuoni MWEZI muandamo huku kwetu AFRIKA MASHARIKI !?? Au ile Hadithi ya kuandama ma kuungalia mwezi sisi haituhusu??!!.
Na badala yake tumekuwa tegemezi na kufata mwezi wa VYOMBO VYA HABARI!!?.

BWANA SAUDIA tunaemfuata nae pia amesema hawajauona MWEZI jan (hawajautangazia) na matokea yake leo tumekukamilisha 30.

Kama kawaida dola nyingi za KIARABU wamemfata BWANA MKUBWA na leo kwa wote ni 30.

LAKINI katika kutafuta khabari za mwezi nimebainikiwa kuwa jana zipo nchi zimetangaza rasmi kuwa leo JUMANNE ni IDI MOSI !!!

UTURUKI, MURITANIA NA NCHI ZOTE ZA ULAYA kwao leo Jumanne ya tarehe 5/7/2016 ni IDI MOSI.

INAKUWAJE sisi hatuwafati hao, wakati UTURUKI na MURITANIA wamejaa WANAVYUONI na waislamu kwao ni asilimia kubwa kabisa !??

KUMBE mwezi wa KKIMATAIFA ni ule utakaokubaliwa na SAUDIA TUUU.
ni BIDAA DHALALA kuwaburuza WAISLAMU wa dunia nziwa wategemee KAWLI kutoka SAUDIA wakati wao sio DOLA YA KIISLAMU INAYOONGOZA ULIMWENGU.

Nikiiangalia UTURUKI nakuta kihistoria ni nchi ilibahatika kuongoza UISLAMU ULIMWENGUNI kwa muda wa miaka zaidi ya 500 yaani KARNE TANO, hivyo ilitosha kukubaliwa FATWA yao. Lakini kumbe tuna UBAGUZI mkubwa hata katika dini yetu !!!.

PIA nimegunduwa kuwa kwa jana usiku ilikuwa mwezi utaonekana maeneo ya MAREKANI YA KUSINI!! Kama walivyobainisha Wasomi wa FALAK.

Maana yake tuliweza kupata taarifa mapema kabla ya Alfajiri ya leo kama umeonekana huko au la. Kwa nini Masheke zetu hawatupi UKWELI kama huu!!??.

Mmoja kanambia UTURUKI hawajauona bali wametegema hesabu ya kuwa mwezi USHAZALIWA na utaonekana sehemu japo moja Duniani.

Ni kweli hilo, lakini si ndio SAUDIA wanavyofanya kwa Miaka zaidi ya 30 sasa kwa KUUTANGAZA MWEZI umeonekana bila ya kutaja eneo ulipoonekana !!?. Nasi huzinduliwa na MASHEKHE tusiowaamini (kutokana nakupandikizwa fikra potofu na Makhatibu wetu) kuwa WASAUDI hufuata hesabu na mara nyingi hawauoni mwezi, lakini tunakataa na hatusikii na kufanya ubishi !!?.

Leo nilitaraji tungesali IDI lakini kimyaaa utadhani hakuna nchi duniani zilizoingia IDI, ah inaniuma sana mwenzenu na ndio nikaamua kusema UKWELI huu.

Tunawaingiza katika DHALALA wale wanaofunga nchini mwetu wakti sis tumeingia IDI, pia wanaofunga ARAFA wakati sisi huwa tumo katika IDI kwa kuwapa hadithi kuwa kufunga siku ya IDI ni haramu.
Sasa sisi leo tuitwe nani ?? Maana na leo ni IDI mosi katika baadhi ya nchi kwa nini hatufati!!??.

LEO nimebaini kuwa kuna agenda ya Siri katika huku KUBURUZWA na sihasha ikawa MYAHUDI ndie aliyeshika RIMOTE CONTROL.

KUANZA sasa nimetubu na nitarudi kuwafata MASHEKHE zetu na kuwachana na Makhatibu WANAOTUBURUZA.
ENOUGH IS ENOUGH.

Namuomba Allah anisamehe kwa yaliyopita na Kuanza sasa nafuata MWEZI WA NCHI YANGU na kuachana na hayo madai ya MWEZI WA KIMATAIFA.

NAWASILISHA.
WASSAAMU ALEYKUM.
 
ni mara nyingisana si moja wala mbili, waislam wa Tz wanaoamini mwezi ni mmoja dunia nzima walikula iddi wakati wasaud bado wamefunga....do your research
 
Nchi nyingi duniani huswali id siku moja
 
ni mara nyingisana si moja wala mbili, waislam wa Tz wanaoamini mwezi ni mmoja dunia nzima walikula iddi wakati wasaud bado wamefunga....do your research
Huyu kachanganya mambo, kuna waislamu wa mwezi wa Saudia na kuna waislamu wa mwezi kwa mmoja kwa dunia moja. Haya ni makundi mawili tofauti.
 
Ndugu wakigombana ..........shika .....ukalime.achA paroko nsitie neno nipite kimya kimya nsije kuharibu hali ya hewa kwenye hii thread
 
Unatakiwa uongozwe na hoja za kielimu si makundi ya watu.
Nahisi hujaielewa elimu ya mwezi.
 
Back
Top Bottom