SITTING ALLOWANCE vs Standing allowance

Aaron

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
3,019
Reaction score
4,695
kama tunalipa wabunge sitting
allowance basi trafiki na walimu
walipwe standing allowance
 
Kweli kabisa kuna haja kufuta posho zote za vikao serikalini na mashirika umma!!ni aibu sana!
 
Kweli kabisa...
Yaani! Huku ni kutumia rasirimali za watanzania kwa manufaa ya wachache..

#WASHINDWE.
 
ipo sawa, unangezaje idadi ya mawaziri bila kujali gharama?
 
Nimeipenda sana hii kutoka kwa Dr. Slaa, wa ukweli kbisa....!!!!
 
Halafu polisi yalivyo mazezeta yakiamriwa na mabwana zao yanawaua watetezi wao hawa! Hawa jamaa kweli hamnazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…