hata hiyo foundation aliyoanzisha itakua kwa ajiri ya kuiba hela tu , sababu hakutakuwa na ukweli wwte kama kashindwa kutaja umri je akipewa pesa na wafadhiri atazifikisha kwa walengwa??
hata hiyo foundation aliyoanzisha itakua kwa ajiri ya kuiba hela tu , sababu hakutakuwa na ukweli wwte kama kashindwa kutaja umri je akipewa pesa na wafadhiri atazifikisha kwa walengwa??
siku ile pale anasema taji karudisha akaulizwa zawadi nayo umerudisha?akajibu hawajaniambia nirudishe akaulizwa tena mbona taji hawakukwambia urudishe ukarudisha na hela si ungerudisha pia anabaki kubwela anajidanganya tu huyu kajichafua tayari hasafishiki hata kwa jiki bora angekaa kinywaaa tu