Super Handsome
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 3,844
- 6,468
Namuonea huruma coz anataka kutumia inshu ya kuvuliwa taji kufanya mambo yake.
Ila hakuwa na haja yakufanya interview ikiwa maswali ya msingi kama umri wake hawezi kutaja.
Sasa si atoe ucho kitabi kama keshafunga kulasa.
Haoni mafanikio ya shigongo kwa kufunga kulasa tu.
Na yule Mtoto wa kike amewekwa na lady millen ( happiness Magese) ndio wake nini :sly:
Ila mtu wa 89 awe na Mtoto Mkubwa vile duuh :banghead:
Hata ww utakosolewa soon......Hii kazi ya kumsaidia kutoa darsa FaizaFoxy umeanza lini?
kitabu!makalatasi yameandikwa kayabana pamoja tu pale
Hehe naona anatafuta umaarufu kwa nguvu zoteeee na ule mkwara wa tangazo khaa???kama hataki kuuliza maswali anajipeleka peleka kwenye tv ili iwejeee
Yani ule mkwara kwenye tangazo ulinifanya niangalie nirvana. Kafika anaulizwa maswali hajibu hafu kichwani mweupe aisee hadi interview ili bore.
Yani ule mkwara kwenye tangazo ulinifanya niangalie nirvana. Kafika anaulizwa maswali hajibu hafu kichwani mweupe aisee hadi interview ili bore.
Sielewi dhumuni ya ile interview....ikiwa anashindwa kuclear wingu zito lililopelekea kuvuliwa taji.Yaan hovyo kbs
Mi sikutaka kuangalia kabisaaa niliona tangazo tu nikachokaa
Bora hukuangalia hakua na jipya anajibu kijeuri hata interview haikunoga.
Inaonyesha mzito sana kwenye kujibu mambo. Pale angemaliza minong'ono ya chini na kusema samahani kwa Watanzania aendelee na life lake yeye mgumu ka jiwe.
Amezidi kuharibu.....kwa kifupi iliboa
Huyu inabidi kutumia Carbon 14 kujua umri wake
Hhhhaaa umenikumbusha mbalii carbon 14
historia ya form 1