The two are not related; m/kiti wa UWT has nothing to do with uwaziri wake. The issue at hand is failure on her part as a person to deliver in her ministerial position - whatever qualifications and other titles she has (wengine wameita sungura expertise etc) akazitumie hukohuko ajuako!
Honestly, why do we have such ministers? And I know there so many of them like this.
Huu uandishi kwa kishenzi unaniudhi sana... hayo mapigo ni yapi?? uandishi unaingiza ushabiki kila sehemu, $%^(*)(*&^%$## kabisa!!!
Na bwana Sitta anapobishana na chizi basi na yeye very soon atakuwa chizi, hayo majibu angemuachia msaidizi wake tu amjibu huyo mama maana wote tunajua huyo mama karukwa na akili, kwahiyo kuanza kumjibu ni kujishusha hadhi tu
Keep quiet Sitta fanya kazi yako... na kama ni kumjibu jibizaneni kwenye nyaraka zenu za siri sio kutuletea upuzi wenu vyombo vya habari
Thats why Mwandosya is smarter... he has ethics always
Ulifuatilia vyombo vya habri vya jana?Soma magazeti ya jana utapata jibu.
Thats why Mwandosya is smarter... he has ethics always
ikiwa she is the minister and chairman wa most important wing ya ruling part, anyone in the world will take that she is the best. AND THAT IS IT, PERIOD!!!!!!!!!!!!! huwezi ukaseparate kiurahisi hivyo.
Chama chake kimeona anafaa na ni bora kuliko all the womens ndiyo maana kimempa umwenyekiti, and because she is the best of all in her part amepewa uwaziri wa UTAWALA BORA!!! kwa mba SOFIA SIMBA ni BORA kwa satandard za ki si si emu.
Ukibisha, bisha tu kwa sababu ulizaliwa ili uwe mbishi.
Ndio maana tunalilia vetting ya wateuliwa wa rais ianzishwe kwenye bunge ili kuepuka kuongozwa ma mazuzu pale ambapo tunalazimika kutawaliwa na rais asiyekuwa na uwezo.
....Kwa Sofia na siasa za CCM,nataka ukubali yeye anawakilisha kundi kubwa la wanawake kwa kuzingatia yeye ndio mwenyekiti wa ccm wanawake.
So she is the best ever woman a CCM has.
Sorry Gender Sensitive that is opinion
Mkifanya vetting ya kwelikweli vyeo hivi mtampa nani?Naam; wenzetu wanafanya vetting hadi kwa mabalozi; nafikiri kuna haja ya kufanya vetting kwa kada zote za uongozi wa umma; labda tutawaacha walimu na mdaktari wakuu
Naam; wenzetu wanafanya vetting hadi kwa mabalozi; nafikiri kuna haja ya kufanya vetting kwa kada zote za uongozi wa umma; labda tutawaacha walimu na mdaktari wakuu
Mkuu imeandikwa sehemu kwamba sisi tunafanya "Venting" na sio vetting... please take a note of that... it is venting for us!!!
Mh. Sitta hapa hakufanya sawa. Hakutakiwa kujibizana na Simba yeye angemwacha tu aongee. Sitta naye anataka kujiangusha kwa kuanza kujibizana nje ya bunge na mtu ambaye amekuwa mpaukaj!!!!!na Martin Malera
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Samuel Sitta amesema madai kwamba ofisi yake ndiyo chanzo cha wabunge kuukataa muswada wa kuundwa kwa Baraza la Usalama wa Taifa ni ya kipuuzi.
Badala yake Spika Sitta alisema Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora), Sofia Simba ndiye aliyelikoroga kwani alipeleka bungeni muswada huo bila kufikiria mambo aliyoyaweka ndani yake.
Sitta alitoa kauli hiyo jana akifafanua taarifa zilizoibebesha lawama ofisi yake kwamba ilivurunda kwa kuupeleka muswada huo kwenye Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala badala ya Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama.
Akizungumza na Tanzania Daima Jumatano kwa njia ya simu kutoka mjini Dodoma, jana, Spika Sitta alisema hata kama muswada huo ungepita kwenye kamati wanayosema kuwa ndiyo sahihi, bado ungekuwa na kasoro kutokana na mambo yaliyoandaliwa.
Sitta alimshangaa Waziri Simba kwa kuandaa muswada kama huo aliouita wa hatari na kuhoji kama waziri huyo alifikiria vizuri kabla ya kuupeleka bungeni.
Hata kama muswada huu ungeenda kwenye kamati yoyote bado usingepita kwa jinsi ulivyoletwa na sijui Waziri anayepeleka kitu kama hiki amefikiria vizuri maana ni wa hatari kweli, alisema Spika Sitta.
Kwa mujibu wa Sitta, muswada huo unapaswa kufanyiwa marekebisho na kama watauona haufai, wanaweza wakauacha kabisa kwa sasa.
Haya madai kwamba ofisi ya Spika ndiyo chanzo cha kukwamisha muswada huo ni ya kipuuzi kabisa kwa sababu katibu ana maelekezo yote na ametoa maelekezo sahihi kabisa, na hii si mara ya kwanza.
Kwa mfano wakati wa kuchunguza suala la mgodi wa Barrick, North Mara, ofisi yangu iliunda kamati mbili; moja ya Nishati na Madini na nyingine ya Mazingira na bado tungeweza kuwa na kamati nyingine ya Afya ishiriki, hakuna ubaya, na ndicho kilichofanyika, sasa hili linashangaza kwa kweli kwa sababu hakuna nia mbaya kama wanavyodai, alisema Spika Sitta.
Sitta amelazimika kutoa ufafanuzi huo kufuatia taarifa kwamba kulikuwa na msuguano mkali kati ya Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama na ile ya Katiba, Sheria na Utawala.
Naibu Spika wa Bunge, alikaririwa akisema juzi kuwa hakukuwa na ubaya katika kufanya hivyo kwani kamati husika ilikuwa na kazi nyingi.
Wiki iliyopita, katika kile kinachoonekana kugoma kuburuzwa na serikali wabunge kwa mara ya pili waligoma kuupitisha muswada wa Sheria ya Baraza la Usalama la Taifa wa mwaka 2009.
Muswada huo uliowasilishwa bungeni na Waziri Simba, uliibua mjadala mkubwa kwa wabunge ambao wameweka bayana kuwa serikali isipokuwa makini, kuna kila dalili ikashindwa kuendelea.
Mwaka jana muswada huo ulikataliwa na wabunge kwa madai kuwa una upungufu mkubwa, lakini haukuweza kufanyiwa marekebisho kama walivyopendekeza wabunge.
Wabunge hao wamebainisha kuwa muswada huo unakwenda kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kwa kuingilia madaraka ya rais kwa kumuundia chombo ambacho kitafanya kazi zake za ulinzi na usalama wa nchi.
Baadhi walidai kuwa baraza hilo lina mlolongo wa watu wengi ambao ni kama vile kuunda baraza jingine la mawaziri na litakuwa si Baraza la Usalama tena bali ni suala la kisiasa.
Pia muswada huo unadaiwa kutaka kunyanganya madaraka ya rais na iwapo utapitishwa utaiweka nchi pabaya.
Kutokana na kasoro iliyojitokeza kwenye muswada huo, Mbunge wa Karatu, Dk. Willbrod Slaa (CHADEMA) amemtaka Rais Jakaya Kikwete kumuwajibisha Waziri Simba iwapo hatajiwajibisha kwa kujiuzulu.
Dk. Slaa ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CHADEMA, alisema suala hilo linaonekana kuwa dogo, lakini ni kubwa na iwapo litapuuzwa, litakuwa hatari kwa maslahi ya taifa.
Alifafanua kuwa kwa mujibu wa ibara ya 97 ya Katiba ya Jumhuri ya Muungano wa Tanzania na kifungu cha 69 cha kanuni za Bunge, Waziri Simba angetakiwa kujiuzulu mara moja kwa kushindwa kutekeleza wajibu wake. Pia alitaka watendaji walio chini ya rais pamoja na Kamati ya Bunge iliyoupitia muswada huo kabla ya kupelekwa bungeni kuwajibishwa mara moja. Baadhi ya kasoro zilizoko kwenye muswada huo, zimo katika kifungu cha 5 (2) g, ambacho hakikueleza wazi maadui wa taifa, hivyo kinatoa nafasi kwa baadhi ya watu kuonekana maadui wakati sivyo.
Hoja zangu!
Viongozi wakubwa Spika wa Bunge na Waziri mwenye dhamana kujibishana hivi,hivi huu ni Utawala Bora?kuna nii nyuma ya pazia?kwani hawawezi kukaa pamoja mpaka wajibizane kwenye media?hivi tutafika kweli?
Jamani kuna mtu mwenye details kuwa mswada wenyewe uli-contain nini haswa?? Then tunaweza kuanalyse kama kulikua na umuhimu wa kuukataa kwa maslahi ya nchi. Mwenye undani wake tafadhali tuwekee hapa.
Mh. Sitta hapa hakufanya sawa. Hakutakiwa kujibizana na Simba yeye angemwacha tu aongee. Sitta naye anataka kujiangusha kwa kuanza kujibizana nje ya bunge na mtu ambaye amekuwa mpaukaj!!!!!
We unataka waziri Simba awe ignored sababu according to you yule Mama hana dira wala mwelekeo, lakini ni bado waziri wa nchi - tena wizara nyeti sasa kama kuna swala la msingi la kujibu au kuelezea kwa nini spika asisema?
Sioni tatizo la mwandishi na majibu ya Sitta - unless.....una jambo lako chief.
Great job Samwel... nafikiri mkuu hujui chama chao pia kina makundi mawili - thinkers na vipepeo....
....Kwa Sofia na siasa za CCM,nataka ukubali yeye anawakilisha kundi kubwa la wanawake kwa kuzingatia yeye ndio mwenyekiti wa ccm wanawake.
So she is the best ever woman a CCM has.
Sorry Gender Sensitive that is opinion
Mkuu Shaycas
Hapa hatumjadili Sophia Simba kama Mwenyekti wa UWT ya CCM,tunamjadili kama Waziri...haina mahusiano na ujinsia wake.
kweli wewe ni gender sensitive