Sitta:Upigaji kura utaanza September 26

Sitta:Upigaji kura utaanza September 26

Haya sasa Mzee mzima anaweweseka na limechwea.
JK noma na anaelewa michezo ya kisiasa.Mwamemweka sawa mzee wa watu akidhani kapata pakutengenezea CV ya Uraisi 2015 kumbe wenzake wametega na akaingia kingi.

Na ili adhalilike sawa sawa wataacha hili Bunge liishe kifo cha kawaida;siku zitaisha na akidi haitafikiwa na mwisho ni fault ya Kisheria.

Lawama kwa nani kama si Mwenyekiti aliyekosa Busara!

JK ni kichwa nakuhakikishia sikuwahi kujua kama ni mwanasiasa mwenye kujali kiasi hiki. Ametusaidia sana kuona wendawazimu tulionao na wanaotaka kugombea urais wa Nchi hii. Kumbe wendawazimu wengine tulikuwa tunawashabikia bila kujua kuwa ni wendawazimu. Pasingekuwepo bunge hili la katiba wangeweza kuingia Ikulu. Tunakushukuru sana JK kwa kutuonyesha sura za watu hawa sawasawa.
 
Back
Top Bottom