Sitta: Tuna wakati mgumu

Nimekuelewa. Wewe ni mmoja wa wabunge wa BMK mlioko Dodoma na kuwa u mjumbe wa moja ya kamati ulizozitaja.....Kura utakayopiga kuhusu katiba hii pia utwambie....
 
Huyu Mzee ni mtu wa ovyo Sana sijapat kuona pia nilimuheshimu Sana ila kajiharubia
 

Umeambiwa katika vikao na kamati za uongozi siyo bungeni, kama na wewe umejitishwa ucciemu polen sana. Warioba leo ametangaza rasmi kwenda kuungana na wananchi kuitetea rasimu ya S3 kama yalivyo maoni yao na kuikataa katiba ya ccm. shame upon u!
 

Mzee anachanganikiwa kweli. Yeye ndiye atakayeipigia kura hiyo rasimu haramu au wananchi?
 

Atapata katiba ya kumuongoza yeye na mke wake uko urambo na siyo watanganyika na wazenj
 

Tunashukuru mkuu kwa taarifa zako,mi nakiri nimekuwa nikizisoma zote tangu uanze kuzitoa,keep it up!
 
atajuta sana Warioba amesema anajiandaa kuzunguka nchi kuewaleza wananchi maoni yao yameweka kando na kuingiza maoni ya ccm bado UKAWA maandamano nchi nzima yanaendelea ccm kwisha habari yao
 
na mambo mengi yanakuja tunasubiri na tutaona
 

kiongozi wa bora sasa atatoka wapi; bora lowassa tu ;;; hana kashfa
 
Mnaishi kwa ndoto.
Na ndoto zenu hazina athari kwa 6,ccm wala watanzania. Uzuri ni kwamba, mnatunga uongo kisha mnajidanganya then mnauamini uongo huohuo.
We keep on keeping on. Tunawatungia katiba

Kwa hiyo aliyeanzisha uzi huu si Mtanzania? 6 ameshaathirika tayari, na CCM pia. Kuweni mkitazama ukweli na mkiri. Acheni ushabiki. SAMUEL SITTA ameathirika sana kisiasa. Ni afadhali angekataa uenyekiti mapema.
 
Mungu anisamehe ila Sitta namchukia sana kwa sababu ya mambo aliyoyafanya Dodoma.
 
Kwa hiyo aliyeanzisha uzi huu si Mtanzania? 6 ameshaathirika tayari, na CCM pia. Kuweni mkitazama ukweli na mkiri. Acheni ushabiki. SAMUEL SITTA ameathirika sana kisiasa. Ni afadhali angekataa uenyekiti mapema.

Kwa mwenendo huu wa 6 muda si mrefu mtasikia kalazwa Milembe kama pre-counselling hatipata.Hebu anglia maoni kipima joto ITV 88% wamesema rasmu ya six ni ya ovyo kabisa na ni 9% tu ndo walimuunga mkono. Hapo kwa nini asilazwe Milembe!!!?
 
Kati ya watu ambao wamepoteza mvuto kwa Watanzania. Sita ni wa kwanza.
 
Samweli sitta hakumbuki kwamba ni ccm na wenzake waliomuondoa katika kugombania uspika baada ya kuwaumbua na kashfa ya richmond kwa kumtengenezea zengwe hivyo alitakiwa kujifunza kwa hilo lakini kutokana na kiherehere chake akajivika tena balaa baada ya kujitokeza kugombea uenyekiti wa bunge maalumu na kwasababu walikuwa wanataka kumlipizia kisasi wakamsapoti maskini sitta wa watu pasipo kufahamu akaingia kichwa kichwa sasa kitakachomtokea sijui!!!
 

KAINGIZWA mkenge.

KARIKOROGA NA ALINYWE TU.
 
Mnaishi kwa ndoto.
Na ndoto zenu hazina athari kwa 6,ccm wala watanzania. Uzuri ni kwamba, mnatunga uongo kisha mnajidanganya then mnauamini uongo huohuo.
We keep on keeping on. Tunawatungia katiba

Ni kweli kabisa, unajua watanzania hawamuono 6 kwenye TV wala kumsikia anachoongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…