Sitta ni Mwongo na Mnafiki, Jiuzulu mara moja

SITA NI MKWELI TENA MPENZI WA MUNGU BALI MWAKYEMBE NI MNAFIKI MKUBWA AMBAYE ANATUZUNGUKA WANANCHI SITA SI MTOTO MDOGO ATAMKE JAMBO AMBALO HANA UHAKIKA NALO TENA TOKA KWA SWAHIBA WAKE UKITAKA KUJUA MWAKYEMBE NI MNAFIKI KWA NINI HAKUKANUSHA VILE SITA ALIVOSEMA MWAKYEMBE KALISHWA SUMU? BALI ALIKANUSHA MANUMBA ALIVOSEMA HAJALISHWA SUMU.fikiri kwa kina
 
Lakini Mh.6 alikua akisema kauli ya sumu akiwa embeded na Mh.Mwakyembe!mbona hakukanusha na kukana kauli za mwenzake?
 

Me nadhani mwandishi ni kanjanja sidhani kama Scleroderma, kwa sisi ambao tumeenda shule tunajiuliza? Let wait and see.
 
sitta umedanganya nchi kuhusu ugonjwa wa rafiki yako Mwakiembe. sasa amekuruka na kukuacha uchi, jiuzulu mara moja kwa faida ya nchi.

hatutaki viongozi wanafiki na waongo!

Uwezo wako wa kuchambua mambo bado uko chini, nenda kaongeze elimu au utoke hapa kwenye jukwaa la GT unachafua hali ya hewa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…