Sitta awafungulia mashtaka Lowassa, Rostam CCM

Ndan ya ccm

nawakubali sana sitta na mwakyembe ila uoga wao ndio tatzo
 

Imezee vivyo hivyo japo chungu, Maccm waanza kuvurugana na kuelekea hali jojo. Nyumba ya barafu haihimili joto, maccm kwishney aka carcass
 

Nadhani yeye nia yake siyo ya kuwafunga, maana anafahamu kuwa hata mahakama hazifui dafu. Nachotaka ni kuwa wasipate tiketi ya chama kugombea uraisi. Maana anafahamu kuwa wakishapewa tu nafasi hiyo, Lowassa anakuwa Raisi na jamaa huenda hata Waziri Mkuu. Sasa yeye atajificha wapi wakati huo. Tena hilo likitokea yeye ndiye atajikuta kizimbani akijibu tuhuma za ufisadi- nyumba ya spika. Mto utapanda mlima mwaka huu.
 
Chakujiuliza huo ufisadi uliofanywa na Rostam na Lowasa , wamefisadi nchi au Chama?

 

Hata afanye nini, hana chake, kama alishindwa kutetea kiti cha uspika kwa kudondoshwa na mwanamke ataweza kushindana na wanaume?
 
kesi ya ngedere kapelekewa nyani. Ila yote kwa yote amedhubutu walau kufungua mdomo.
 

Haaahaaa...inaelekea kunawatu Tanzania wamezaliwa kuongoza wengine hata kama ni kwa lazima. Sitta si alijenga ofisi ya bunge Urambo? I am sure anaweza kufanya practice kule badala ya kundesha siasa za maji taka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…