SITTA AUMBUKA, BAADA YA TAARIFA YA Dr. Mwakyembe

Manumba kazini !
Fara kabisa.

 
Katika hili, Manumba you have gone so low kiweledi kuchunguza swala la mkasa wa Dr Mwakyembe.

Hakika kwa tangazo lako hili la baada ya purukshani za ktu kama wiki mbili hivi zilizopita sana san mwenzetu umesaidia tu kutufanya wananchi tukapoteze zaidi imani na hili jeshi letu la polisi na utendaji wake wenye maswali zaidi kuliko majibu nchini.

Ni vema ikaeleweka kwamba KWA KADRI SERIKALI INAVYOENDELEA KUJIKANYAGA kuhusu mauaji ya kutumia sumu kwa Dr Mwakyembe, hivyo ndivo wananchi hata wale wasiofahamu mambo mengi saana ndivyo wanavyoendelea kuligwaya hili serikali la CCM na hatari zote hizi.
 
mimi pia naungana aliyeleta mada kuwa sitta ataumbuka maana mwakyembe amesema bado uchunguzi unaendelea so polisi na sitta wote wanyamaze hadi mwisho tujue jibu la mwisho ktk uchunguzi wa mwakyembe

Wachawi huwanga pamoja. Ila hutunguliwa mmoja mmoja
 

Ungeweka maneno yake yote ili tujue kama Six kaumbuka au la badala ya kukatakata vipande. Halafu kama hawajagundua tatizo hizo dawa anazotumia zinatibu nini?
 
Wale waleeeeee Ukiwaona kama watu, naye amataka oenekane miongoni mwa Great Thinkers
 




Kakakuona umekurupuka kwa kiwango kisichovumilika, siku nyingine ni vyema na busara ukajiridhisha kifikra kabla ya kutuma ama kuanzisha thread yoyote iliyotawaliwa na hisia za kishabiki.
 
We umetumwa tu.........

 
Wewe hadi wamuuwe baba na mama yako ndo utaamini kinachosemwa na sitta na mwakyembe mwenyewe. BAKI NA MAUJINGA YAKO.
 
Kwenda shule ni kwa mujibu wa sheria, lakini kuwa na akili ni majaaliwa.
 
Mzee acha tuingie kwe FRIJI YA HAPA JF utaziona tu hizo nyuzi hewani si kipindi kirefu sana pale juu kabisa kwenye meza kuu ya 'Jukwaa la Sisa'.

Nadhani kwa hapo MODs hawahusiki isipokua tu ni kwamba nyuzi hizo zimebanwa na kugandmizwa chini sana na zile nyingine mpya kibao walizozianzisha wenzetu humu.

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…