MSIMAMOMO MAKINI HAPA NI HU
Msimamo wetu uko wazi tu, kwamba Rasimu ya Katiba iheshimiwe. Bunge la Katiba lina kazi ya kujadili na kupitisha Rasimu ya Katiba, kwa hiyo lazima mjadala uongozwe hivyo, siyo vinginevyo, alisema Profesa Lipumba. Kiini cha rasimu ile ni uwapo wa muundo wa Serikali ya shirikisho, yaani serikali tatu. Sasa ukienda kwenye Bunge na kuacha mapendekezo hayo na kuleta serikali mbili, unaitoa wapi? alihoji.
KILA MWENYE AKILI TIMAMU AJIULIZE KWELI SITTA NACC M WENZAKE WANAITAKA KATIBA MPYA YA SERIKALI TATU?
MAKAMO WA M/KITI CCM alinukuliwa akisema kuwa hakuna haja ya katiba mpya baada ya bunge la bajeti liliopita kudhirisha kuwa matatazo yote ya muungano yamesha tatuliwa.
Wakati viongozi wa ccm wakiwa majukwaani wanasema wazi kuwa msimamo wao ni serikali 2 mboresho. munaelewa maana yake hii?
Kinachoshangaza wanawalaumu ukawa eti wao ndio kikwazo,hivi nani asiyeelewa hapa?
Spika wa bunge la katiba akitaka anaweza kuwarudisha ukawa kwa mamlaka yake aliyonayo,ni kuwambia tuu kuwa ,rasimu iliyopo itajadiliwa na italindwa,
Awape tena gerentii ya kuwa bunge likianza tu, itapigwa kura ya vifungu .1 na 6 ambavyo vilisha jadiliwa na walikubaliana kwa mujibu wa kanuni kuwa vipigiwe kura ya kuvipitisha.Na endapo havikupita inamaana katiba nzima itakwamia hapo,kamati ya maridhiano ifanye kazi yake kama walivyokubaliana,lakini Muh.Sitta analikwepa hilo na analeta stori za kujadili mambo mengine kwenye rasimu,huku akiaha kupigia kura vifungu no. 1 na,6.
CCm wanawalaumu ukawa kwa lipi?
ANAIBUA VIKAO NA MASHEIKH,MAASKOFU,MSAJILI WA VYAMA,NA MAKONGAMANO KADHAA,HII YOTE NI KUURUKA UKWELI.
TUJIULIZE TUMEKWAM WAPI?
NINI TYUFANYE ILI TUKWAMUKE?
NANI ANAO UWEZO WA KUTUKWAMUA HAPO?
MIMI NASEMA SPIKA SITTS ANAWEZA AKITAKA NA AKIACHANA NA MISIMAMO YA HAMA CHAKEKUUNUSURU MCHAKATO WA KATIBA