tumechoka na wanaojiita wapambanaji na ufisadi, kabla yeyote hajachangia ni vema angetuambia je yeye ni msafi kiasigani? tangu akiwa waziri wa ujenzi, mkuu wa cda, mkuu wa TIC nk. na je anamiliki nini na anafanya biashara gani? WATANZANIA TUZUNDUKE, TUTAKUWA TUNATUPIWA CHANGA LA MACHO KILA KUKUCHA KWA KUPENDA KUSIKIA KILE TUNACHOTAKA KUSIKIA