Samuel sita kwa kulazimisha katiba uliyoagizwa kuipitisha na watawala wako,umejichimbia kaburi ya kuagana na siasa za tanzania kwani watanzania tulio wengi na wapiga kura wako tunakuogopa kama ukoma.kwaheri kutoka ktk siasa.
Mwakiposa, acha kujidhalilisha bhana, angalia fact mzee. Ndo maana nasema mna ulevi wa madaraka. Sasa wewe kuwa Mtendaji wa kata hapo sinza, tayari unasifu hadi mambo ya ajabu.Tanzania tuna safari ndefu kupata maendeleo ya kiakili maana hata mapfof wanaficha akili mifukoni kushabikia ujinga. Watz tumelogwa na hatufikirii kabisa mambo ya Taifa, just matumbo yetu tu tulio madarakani na kunufaisha viongozi tu. Naumia sana mimi kuzaliwa Africa hasa TZ. People can not strech their brain. Just ndio mzeeee, ah! very sad.
6 anaandaliwa mapokezi makubwa ya chama kwa mujibu wa magazeti ya Leo. Sijui nani anayaratibu. Lengo ni kuziba baadhi ya midomo ya watu. Maroli mengi yannaandaliwa kusomba watu ili wamraki...