Ukifuatilia haya matukio kuanzia hatua za awali kabisa zilizopelekea Dr. Mvungi (R.I.P) kupoteza maisha mpaka UKAWA kutoka nje ya bunge, unaona sababu zilizomweka Mandela gerezani kwa mika 27 ...na kweli kabla ya mwisho wa uhai wake sheria za nchi ziliridhia kuwa usawa wa binadamu ndio msingi wa maisha ya Afrika ya Kusini.Wananchi wataburuzwa tu.
Mkuu una lingine? fuatilia mwenyewe mimi matokeo nimeyapata leo saa kumi alfajiri!!
mkuu kama wameweza kuchakachua mchana kweupe namna hii watashindwa vp kuchakachua kura za maoni?
Ungeuza mandazi wenzako wauze karanga mmepigwa kotekote pakutokea hakuna safari ndiyo hiyo imeanza na katiba mpya iko mbele yetu.
Samuel Sitta mwenyekiti wa bunge maalum la katiba imebidi alazimishe ushindi kwa upande wa Zanzibar kwenye rasimu, nimethibitisha.
Uhakika ni kwamba mwenyekiti huyo atatangaza matokeo ya ushindi huku yakigubikwa na utata mkubwa na huenda yakazua tafrani kubwa.
Katika hali ya kushangaza ni kuwa wajumbe wote wa kura ya siri walipiga kura ya 'ndiyo' huku kura nyinhine zikiongezwa ili kukidhi akidi na haijulikani zilikotoka.
Bunge hilo linafikia tamati hivi leo huku likiibua mpasuko mkubwa nchini.
Hivyo ndivyo ilivyo! Akidi kwa upande wa Zanzibar imepatikana na ilivyopatikana anajua mwenyewe Sitta!
Yeye amejitetea kuwa "kuupitisha huu mchakato kwa gharama yoyote ile ni kuliokoa taifa na ni mpango wa Mungu"
Hii habari pia nimeisikia kwenye gazeti la Raia Tanzania la leo alhamisi.
Kuna tetesi kuwa huenda Kikwete akaingilia kati kushauri usitishwaji wa upigaji kura ili hali iishie hapa ilikofikia ingawa ni tetesi tu!
kapimwe akili. hamkati tamaa tu. nani kawaloga?Samuel Sitta mwenyekiti wa bunge maalum la katiba imebidi alazimishe ushindi kwa upande wa Zanzibar kwenye rasimu, nimethibitisha.
Uhakika ni kwamba mwenyekiti huyo atatangaza matokeo ya ushindi huku yakigubikwa na utata mkubwa na huenda yakazua tafrani kubwa.
Katika hali ya kushangaza ni kuwa wajumbe wote wa kura ya siri walipiga kura ya 'ndiyo' huku kura nyinhine zikiongezwa ili kukidhi akidi na haijulikani zilikotoka.
Bunge hilo linafikia tamati hivi leo huku likiibua mpasuko mkubwa nchini.
Hivyo ndivyo ilivyo! Akidi kwa upande wa Zanzibar imepatikana na ilivyopatikana anajua mwenyewe Sitta!
Yeye amejitetea kuwa "kuupitisha huu mchakato kwa gharama yoyote ile ni kuliokoa taifa na ni mpango wa Mungu"
Hii habari pia nimeisikia kwenye gazeti la Raia Tanzania la leo alhamisi.
Kuna tetesi kuwa huenda Kikwete akaingilia kati kushauri usitishwaji wa upigaji kura ili hali iishie hapa ilikofikia ingawa ni tetesi tu!
Wewe na wenzako wote msiojua nini kipo hampaswi kuzungumza akidi ipo tena imezidi kusoma hujui hata kusikia muulize hata babu slaa anajua kuwa akidi ipo tena imezidi tafuteni hoja zingine.
usiongee kitu km huna uhakika. sijaona fact wala evidence yoyote zaidi ya hisia zako binafsi. tusikubali kuendesha Taifa kwa hisia na majungu
Viongozi wa nchi hii ni wa ajabu kweli...sasa hawa wajumbe wa BMK wanafurahia utadhani ndiyo mwisho wa mchakato na Katiba mpya imeshapatikana hiyo waliyoipanga wao.....hii inaonyesha kwamba kitu walichokopitisha wao ndiyo hicho hata kama wananchi hawakitaki.....kweli Watanzani ni wapole cjui hao hatujui haki zetu......
Wewe na wenzako wote msiojua nini kipo hampaswi kuzungumza akidi ipo tena imezidi kusoma hujui hata kusikia muulize hata babu slaa anajua kuwa akidi ipo tena imezidi tafuteni hoja zingine.
Kutoka 210 wa Zenj hadi 219!
Kutoka 420 wa Tanganyika hadi 411!
Kazi siyo ndogo mkuu!
Kama Mary Chatanda alitolewa Tanga akapiga kura Arusha, haishangazi leo waTanganyika kupiga kura kwa upande wa Zenj!
Bila shaka ni kuhimarisha Muungano
Mkuu Zanzibar nasikia kesho kinawaka!
Huna hoja wewe. Kichwa waziSamuel sita kwa kulazimisha katiba uliyoagizwa kuipitisha na watawala wako,umejichimbia kaburi ya kuagana na siasa za tanzania kwani watanzania tulio wengi na wapiga kura wako tunakuogopa kama ukoma.kwaheri kutoka ktk siasa.