Samuel Sitta mwenyekiti wa bunge maalum la katiba imebidi alazimishe ushindi kwa upande wa Zanzibar kwenye rasimu, nimethibitisha.
Uhakika ni kwamba mwenyekiti huyo atatangaza matokeo ya ushindi huku yakigubikwa na utata mkubwa na huenda yakazua tafrani kubwa.
Katika hali ya kushangaza ni kuwa wajumbe wote wa kura ya siri walipiga kura ya 'ndiyo' huku kura nyinhine zikiongezwa ili kukidhi akidi na haijulikani zilikotoka.
Bunge hilo linafikia tamati hivi leo huku likiibua mpasuko mkubwa nchini.
Nitaendelea kuwajuza zaidi ila 'hali si shwari'
usiongee kitu km huna uhakika. sijaona fact wala evidence yoyote zaidi ya hisia zako binafsi. tusikubali kuendesha Taifa kwa hisia na majungu
Ungeuza mandazi wenzako wauze karanga mmepigwa kotekote pakutokea hakuna safari ndiyo hiyo imeanza na katiba mpya iko mbele yetu.Waache waendelee na katiba yao ya CCM, lakini tunajua wazi kuwa katiba ya Watanzania bado haijapatikana.
Wewe na wenzako wote msiojua nini kipo hampaswi kuzungumza akidi ipo tena imezidi kusoma hujui hata kusikia muulize hata babu slaa anajua kuwa akidi ipo tena imezidi tafuteni hoja zingine.Mkuu pamoja na kwamba mleta mada hajatoa evidence yeyote, mimi naamini inaweza ikawa kweli !. Sababu ni kwamba sasa hivi CCM wana option moja tu ya kiistaarabu - kutangaza kwamba mchakato umeshindikana kwa sababu akidi ya Zanzibar haipo !
Hivi unafikiri wapo tayari kutangaza hivyo ? Na kama hawako tayari kutangaza hivyo, definetely hicho anachokisema mtoa mada kinaweza kikawa kweli kabisa !.
Hali ni mbaya sana kwa CCM sasa hivi !
Wewe mbona mlimwagia musa tesha tindikali na wenzako akina kileo?Sitta kwa nini unawatisha uhai wana Zanzibar waliomo Kwenye Bunge maalum LA katiba?
Samuel Sitta mwenyekiti wa bunge maalum la katiba imebidi alazimishe ushindi kwa upande wa Zanzibar kwenye rasimu, nimethibitisha.
Uhakika ni kwamba mwenyekiti huyo atatangaza matokeo ya ushindi huku yakigubikwa na utata mkubwa na huenda yakazua tafrani kubwa.
Katika hali ya kushangaza ni kuwa wajumbe wote wa kura ya siri walipiga kura ya 'ndiyo' huku kura nyinhine zikiongezwa ili kukidhi akidi na haijulikani zilikotoka.
Bunge hilo linafikia tamati hivi leo huku likiibua mpasuko mkubwa nchini.
Nitaendelea kuwajuza zaidi ila 'hali si shwari'
Wewe na wenzako wote msiojua nini kipo hampaswi kuzungumza akidi ipo tena imezidi kusoma hujui hata kusikia muulize hata babu slaa anajua kuwa akidi ipo tena imezidi tafuteni hoja zingine.
Wewe na wenzako wote msiojua nini kipo hampaswi kuzungumza akidi ipo tena imezidi kusoma hujui hata kusikia muulize hata babu slaa anajua kuwa akidi ipo tena imezidi tafuteni hoja zingine.
Sitta atatangaza kama katiba imepita lkn anawaondoa rasmi CCM Ikulu Zanzibar!Hata CCM wanalijua hili