Huyo mzee sijui ni kwa nini anakomalia uongozi..
Eti anajiita spika msitaafu. Kang'ania kukaa kwenye nyumba ya kupangiwa na serikali mpaka leo. M16 kwa mwezi. Wakati nyumba yake waliojiuzia kawapangisha henken. Pale didis pia ana majumba mengine tegeta na mbweni
Fisadi tu na yeye.. maccm mbana
Tatizo mashabiki wengi wa Sitta ni wachanga mno, hawamjui Sitta wa miaka ya 1970s, 1980s na 1990s, wanamjua tu Sitta wa mwaka 2005 na kuendelea. Wangefanya utafiti kidogo tu wangejua kwamba hapo kwa Sitta hamna kitu...ni unafiki na ufisadi tu mtindo moja.
Mkuu na jamaa wala haishi, pamoja na uzuri wa hiyo nyumba, bado serikali sikivu inamlipia nyumba ya wakenya pale masaki, kwa bei ya gharama.
Upo wapi uzalendo wa Six?