Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,196
- 1,846
Hatimaye , nimeacha chuo kwa sababu ya AVIATOR.
Kwa wale wote walioruhusu mchezo huu nchini, endeleeni kubarikiwa!!.
Msomi mzima wa chuo unashindwa kutambua kuwa huu ni mchezo wa kipuuzi?Hatimae , nimeacha chuo kwa sababu ya AVIATOR.
Kwa wale wote walioruhusu mchezo huu nchini, endeleeni kubarikiwa!!.
Nakazia hapaSema asante Mungu anza kulima hata bustani ya mbog, uza phone accessories, uza nguo za ndani, ni biashara ya mtaji mdogo lakini watu wanadharau, uza mifuko ya kubebea vitu utakuja kunishukuru
Karibu kitaa ,mdau uwe mshauri mzuri wa wananzengo😂😂Hatimaye , nimeacha chuo kwa sababu ya AVIATOR.
Kwa wale wote walioruhusu mchezo huu nchini, endeleeni kubarikiwa!!.
Hivi huu mchezo ukoje? Huwa nasikia watu wengi wakiulaani kuwa umewaharibia maisha. Kuna wanaoshinda?Pole kwa maswahibu uliyokutana nayo Mkuu
NakaziaMsomi mzima wa chuo unashindwa kutambua kuwa huu ni mchezo wa kipuuzi?
Mjinga kabisa wewe.
Watoto wa secondary na ambao hawajasoma wanajifunza nini kwako? Jinga kabisa wewe
Ni mchezo fulani hivi wa kindege kinapaa alafu kinapotea sasa unachotakiwa wewe ni kuweza kuki timing kabla hakijapotea unacash out pesa kwa kuwa kinavopaa ndo pesa inaongezeka mfano kama umeweka 1000 kikapaa mpaka kikafika 500× basi inakuwa 1000 ×500= 500000, lakini kikipotea kabla hujacash out basi ela yako inakwenda, kiufupi iko controlled na kompyuta ijapokuwa wapo wanaoshinda ila kwa uchache sana, wengi wanapigika haswa unakuta mtu kaweka milioni moja anataka apate mfano milioni tano lakini kindege kinapotea kabla hajafanikiwa ku cash out so inakula kwake, milioni inapotea hivyoHivi huu mchezo ukoje? Huwa nasikia watu wengi wakiulaani kuwa umewaharibia maisha. Kuna wanaoshinda?
Mkuu aviata imekula specialized docs, wanasheria na masterz zao, unamshangaa huyo ambaye inawezekana alikuwa veta, .Msomi mzima wa chuo unashindwa kutambua kuwa huu ni mchezo wa kipuuzi?
Mjinga kabisa wewe.
Watoto wa secondary na ambao hawajasoma wanajifunza nini kwako? Jinga kabisa wewe
Asante sana kwa maelezo. Mimi michezo ya kubahatisha (kamari) nayoweza kujaribu kucheza ni ku-bet kwenye michezo, hasa kandanda, na bahati nasibu za kubahatisha namba; za nchi zinazoaminika kama USA na EU. Hii michezo kama ya mashine za kichina mitaani, hiyo aviator na inayohusisha computer zote ziwezi kucheza. Wajanja wanaweza ku-program unakuta uwezekano wa kula ni hakuna kabisa au mara moja kwa mwaka.Ni mchezo fulani hivi wa kindege kinapaa alafu kinapotea sasa unachotakiwa wewe ni kuweza kuki timing kabla hakijapotea unacash out pesa kwa kuwa kinavopaa ndo pesa inaongezeka mfano kama umeweka 1000 kikapaa mpaka kikafika 500× basi inakuwa 1000 ×500= 500000, lakini kikipotea kabla hujacash out basi ela yako inakwenda, kiufupi iko controlled na kompyuta ijapokuwa wapo wanaoshinda ila kwa uchache sana, wengi wanapigika haswa unakuta mtu kaweka milioni moja anataka apate mfano milioni tano lakini kindege kinapotea kabla hajafanikiwa ku cash out so inakula kwake, milioni inapotea hivyo