The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,396
- 9,264
hata mimi sintosahau siku nimepiga bao kwa mara ya kwanza..nilikua naangalia porn magazine niliikuta kwenye madaftari ya bro huku nimelala kifudifudi ktandani. Nilikua naangalia hadi mwisho picha zote halafu naanza upya tena page ya kwanza nikarudia kama mara kumi hivi ghafla nikaanza kuskia hali isiyo ya kawaida nikajua nataka kujikojolea nikaamka fasta ili nikimbilie chooni...weeeeee, nilipiga mweleka nikajibamiza mlango wa chumbani nikamalizia hapo kila kitu. Nilishinda kama mgonjwa siku nzima nawaza nini kimenitokea maana sikuelewa kukojoa gani hivi nguvu zinaisha mwili mzima
aibu ntaona mid mtani
Sitosahau miaka kadha nyuma maisha home yalikuwa magumu tukawa tuna chemsha maharage usiku wa manane kukawa hakuna chumvi kutafuta tafuta s nkakutana na mbolea nkadhani n magadi du palichimbika hakuna maziwa WAla hela Ya kununulia ila jirani akaja akatusave
ulijipiga bao duhSitosahau siku ya kwanza nimepata ndoto nyevu nikatoa bao. Nilikuwa nimelala usiku nikaota namgegeda dada fulani ambaye sikuwahi kumfahamu sura yake, wakati naendelea kugegeda nikaanza kuhisi utamu wa ajabu na nikajikunja mithili ya jongoo aliyeguswa. Baada ya utamu kuisha nikasikia ute ute nikajua kidume tayari sasa nianze kupiga mikasi michuchu ya kitaa.
ulijipiga bao duh
Kipindi hicho sijakujua, Ha ha ha ha ha!!
Sitosahau Nilipoanza kumiliki rasmi Simu ndogo ya mkononi. Ilikuwa ni Siemens (maarufu kama Dole Gumba).. Ilinipa tabu sana kwa kutokaa kwake na chaji. Ilinifedhehesha zaidi pale kifuniko chake kilipolegea nikawa nalazimika kufunga kwa rubber band.
Siku ya siku ilinikuta nikiwa kwenye interview moja hivi.........Nakumbuka niliizima, lakini nikiwa katikati ya usaili ikaanza kutoa mlio wake mkali wa kukera (battery low).. Nilijikausha mpaka ikakata... Baada ya kimya kifupi ikaanza tena.. Kwa kero ile, ndugu wakaniomba NIIZIME, nikawaambia mbona ipo OFF!
Nikikumbakaga tukio hili hadi leo naona aibu!
ha ha haha natamani kila mwanaume aelezee siku ya kwanza kupata bao
Wee itakua shida...kuna jamaa yangu yeye tulikuaga tunacheza mpira ukamgonga tu kiunoni akamaliza hapohapo...na ilikua ndo mara yake ya kwanza sasa sijui alikua mwehu au
ha ha hahahaha duh mimi nitakuwa namvizia mwanamngu wa kiume nione siku kabalehe inakuwaje
Hutajua...sema watoto wa siku hizi wanajua kuna kubalehe tofauti na sisi unajishtukia tu umekula mweleka unaweweseka
ππππππππSitosahau siku niliyoanza kupiga punyeto... bao lilipokuwa linatoka na ule utamu miguu ikawa inatetemeka nikapiga bonge la mwereka nikavunjika mkono, dingi akaja kunipa huduma ya kwanza alivyoona manii yameganda mikononi akaenda kuchukua bakora alinichapa sana sitokuja kuja kusahau hiyo siku . Tangu siku hiyo sikupiga tena punyeto, nilikuwa darasa la 6
Hhhhhhh! βmpedwa" pole kwa mafua kiongozUnapita unaenda wapi? mpedwa. na ukatakapofika usiache kuniita.
Subiri nitaweka