Sitosahau siku niliyonusurika kuuliwa na Polisi wazungu South Africa

Ila SA sio safe kabisa
Haswa,,,na hata siku ya kurudi Tanzania huwa hatuagani,,

Hao hao watanzania wenzetu watakuchorea picha upokonywe pesa na vitu vyote na police wa mchongo.

Ipo siku moja,,nipo kwenye bus narudi Tanzania..

Walisimamisha bus police njiani,wakamshusha mtanzania mmoja,,wakamchukulia rands kibao na simu zaidi ya 30.

Mimi nipo humo kwenye bus napumulia masikio.
Uzuri walimfata yeye tu,,ndy walitonywa ana pesa na mizigo anakwenda Tanzania..

Tatizo police wao wengi ni majambazi.
Dah
 
Maisha ya bondeni kama ulikuja kutafuta life unaweza kuwa na roho mbaya ambayo uwezi kuwa nayo ulipotoka.kuona watu wanakufa mbele yako ni jambo la kawaida.
Wizi kwenda mbele yani michomoko usiseme.
Hapa baada ya kupiga mchomoko
IMG_3904.jpg
 
Bora wewe ulitaka kuuliwa na askari wa south sasa mimi askari wa hapahapa bongo walitaka kuniua kisa parking benki ya nmb. Kichapo nilichochezea utasema nimepigwa na waasi.
Ila Mkuu maisha ulopitia yanasisimua sana aisee tuwekee na ya ubaharia.
 
Tulizo panga kwa mafungu zilikuwa randi 200 x 10 =2000
Sawa laki tatu na kitu .2000x30=60000 ni sawa na milioni 9 na kitu
Sio kwl Mkuu,,

Rand 1 ni sawa na Tz sh 200..
Kwa kipindi hicho.

Sasa rands 6000 sawa na 1200,000/
Ambayo kwa south rands 6000 ni pesa ya kawaida sn tu..
 
Back
Top Bottom