Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,996
- 189,582
Amigo leo vya Chuga vimepanda [emoji23][emoji23]
Yaani HIV tu ndio unapiga mayowe kiasi hiki mkuu..!!
Je ingekuwa COVID-19..??
Je ingekuwa Hepatitis B..??
Mkuu, ebu tuliza mtego huo. Mbona watu wana HIV+ na wanakula shudu kama kawaida plus bata na maisha yapo mukide.....